Aliye tayari kuwa 'new couple' special kwa ajili ya JF

No sidhan kama kitu kama hcho chaweza tokea ni interest tu zawatu kuachana sawa
 
Kweli kbsaaa, na ndoa zinafungwa na Hanik muni zinafanyika bila wahusika hata kufahamiana, ni hatari lakin Salam
 
Hahahahahah kwa dizaini hii inabidi nifanye kampeni
Hahahahahh
Umeona eeehhh hapo lazima tupate supporters wengi sana.

Ebu kinukishe bana niondokane na huu upweke maana unasababisha life expectancy yangu kupungua
 
Umeona eeehhh hapo lazima tupate supporters wengi sana.

Ebu kinukishe bana niondokane na huu upweke maana unasababisha life expectancy yangu kupungua
Inaweza kuwa visa versa though, ila acha nifanye hiyo kazi
Sasa wewe nitonye ulikuwa unamuwaza nani halafu mm ndo nitamalizia
Teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…