Aliye tayari kuwa 'new couple' special kwa ajili ya JF

hahahahaha nimejikuta nacheka mwenyewe. Tuseme basi hata wewe ulishaenda PM kwa wengi ukaja huko na Mima white.
ushauri mubashara kabisaaaaaaaaaaaaa, maana sio kwa kubahatisha hukooooooooooooo

teh teh

Cc. CUTE mima
 
Weee naye ni mchokozi sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi nmeshauri tu J !!

Sitaki uchokozi wako[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
 
hahahahahah haya mapenzi ya mtandaoni ni shida kwa kweli. uaminifu unatakiwa kwa asilimia kubwa tu
halafu kama wewe ni Me akijipitisha same KE mwambie kwetu tuliambiwa tusithubutu kutowasaidia wanawake na hapo atakoma kukuchokoza.

Napia ukiona id mpya inakufuatilia sana ujue huyo anakufahamu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema haki ya Mungu
 
hahahahahahah nanyamaza Putin jaman
napita tu, kicheko kimenifanya nishindwe kupita kimya kimya, ila ungenijibu kidogo bhana
Haaaaa naanzaje kupita kimya kimya wakati unajua nakupenda ? NitakufatanPM basi ,maana naona unasingizia dhambi sasa nibora nifanye kweli tu .

Endelea kuchekaaaa[emoji6]
 
Mkulu mwenyewe anatulisha tango pori ije kua kina mj na d nanihii
 
Inapendeza sana...

Ukiwa mkweli na mwenye mapenzi ya kweli na una maanisha kua nae huyo atakayekukubalia mtadumu sana...

Ila kama unataka waku show off na kuchat chat kama hivyo unavyosema mwenyewe...

Utapotea.. na utasikitisha sana...

Cc: mahondaw
 
Haaaaa naanzaje kupita kimya kimya wakati unajua nakupenda ? NitakufatanPM basi ,maana naona unasingizia dhambi sasa nibora nifanye kweli tu .

Endelea kuchekaaaa[emoji6]
hahahahahah nitafukuzwa ofisini niache, pm mimi sinaga ujue
check hata status yangu ni tofauti

teh teh
 
hahahahahah nitafukuzwa ofisini niache, pm mimi sinaga ujue
check hata status yangu ni tofauti

teh teh
Huuuuuuu usiwe na PM wee waziri mkuu wako niyupi?? Dooohhhh

Au umeifunga?? Nifungulie basi mimi sina madhara hataaaaaaaaaaaa nipo nipo tuuu[emoji28][emoji8]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…