una uhakika ni nyoka ambaye hana sumu?Huuuuuuu usiwe na PM wee waziri mkuu wako niyupi?? Dooohhhh
Au umeifunga?? Nifungulie basi mimi sina madhara hataaaaaaaaaaaa nipo nipo tuuu[emoji28][emoji8]
Yaaan mwenzio akuuuu sina hata chasumu wee kaulize hata mshana au nabii tito wote watakuambia Putin nimtu wawatu!!!una uhakika ni nyoka ambaye hana sumu?
teh teh
nitamwomba mshana apige ramli kwanza kabla.
Cc. mshana jr
Siumeona umeshalike ??? Mwenyewe.Kaka Jose kaniachia
Sidhan kama jf ni sehemu sahihi ya kupata mwenza sahihiMimi kama mwanaume tena mwenye uthubutu kwa mara ya kwanza kabisa ningependa kujitokeza kutafuta new couple ndani ya jf tutakayo match nae vzuri, kigezo ni kimoja tu awe mcheshi asie na jazba mpenda kuchat.
Ijapokuwa mimi si mhenga sana wa jf lkn kwa kipindi ambacho nimekuwepo humu nimekuwa mwanafamilia. Kama mwanafamilia kiukweli nimekuwa na wivu mkubwa sana kwa couple zinazoshamili ndani ya jf nikajitathimini kwan mi nani nisiweze kuwa na couple yangu humu tukakinukisha weeeeh.! na kunogesha mapenz mubashara kabisa kama ile couple iliyotulisha matango pori mchana kweupe tukabaki macho Kodo midomo wazi...! Aisee ila jf raha sana unaweza pelekwa ulaya na kurudishwa bila kujijua. Nataman kuwa mention Kwa majina wale ninaowawish lakini naogopa kupigwa za uso
Karibuni...!
Putin upooNdo hali halis, mie sinimeshaona jamaa wanajitia wazimu nakufungulia watu nyuzi ilihali hawajawa na uhakika km wako in relationship au hapana !!
Kwa taarifa nikwamba kuna watu wanadate humu ndani chini chinj yaa kimyaaaa bila sauti ,watu wananjenjana polepole tu bila kupiga yowe.
Alafu kesho unamwanzishia uz weeeeeeeed nai kasema ...utajibia tuu
** hahahahahahahahah asante my dear ila umechelewa my mkaka mzurii ,nishawaiwa mimiiiii****
Alafu sekunde tatu,,, unaona Bwanake analike post yako ,analike na komenti ya demu wake.
Dadeki ,,, kama hautotaman kuufuta huo uzi ?? Nahivi mods wenyewe mpaka uwabembelezeee ,,, basi itajikuta kila lisaaa unaanzisha vinyuzi vya ajabu ajabu ili viisikumie mbali iyo nyuzi yako yakumhusu demu ..
Hawa ndo wadada wa Jamiiforums na wakaka zao !![emoji3][emoji3][emoji3]
Sawa mkuu nimekuelewa sana.ur the best ila swali langu la kizushi inaonyesha u don't believe mahusiano ya kimtandao.. we upande wako hujawahi pata couple humu mkaenda fresh au ndo kuhit and run..!Usithubutu kumfungalia uzi mwanamke wa JF kama hujakua na uhakika niwako au utammiliki.( ujinga nikuandika uzi alafu demu anakuambia ,ninamtu !! Alafu mbaya anaongea anacheka kabisaaa na kwa kujinadi ....eti
"" thank youuuu my kaka ila nina mtu tayari ,Mungu atakupa anayekufaa'"" ......
Bro bila shaka utakuja na ID mpya ,kinyume nahapo utawachukia mashe wahumu ,lkn pia utakua umejitengenezea mazingira ya kutokukubalika tena.....( unless uwe makini ktk kucheza na Akili zao) .
Chapili,, hapa ndo mnakosea ,, Mwanamme huwa hatangazi kutafuta date ,, ukitangaza nikutafuta mkee ,lkn hizi za kuanzisha mahusiani sio zakutoa tangazo..
Hizi unawafata PM hata kama wapo mia ,wee mfate mmoja baada ya mwingine alafu finally Njoo nammoja unayemuelewa zaidi na yeye akakuelewa .
Nmesema haya kwasababu , Akili za wanawake bila shaka naww unazijua vzuri tuuu "kwa ajili ya couple" atakuja but not completely into you , nakwajinsi ulivyojichanganua niww unayeonekana mwenye shida kuliko hata atakayekuja.
Sawa ukapate sawa sawa na mapenzi yako.
Yelewiiiii ngosha miss your mawaniPutin upoo
Daaah aiseee naami umr si kigezo sana coz weng tuliopo humu hatupishan sana al in al wote vijanaToa sifa zako. Ni vema ukataja na umri wako maana ili muendane kwenye kuchati na kila kitu, umri una matter.
Mkataba wa muda gani?
Kipindi cha majaribio?
hehehe weeee mawani yapiYelewiiiii ngosha miss your mawani
Kwa ushaur bora nikae nao mbali tu mkuu..but just couple kwa jfMapenzi ya JF magumu sana,unamtongoza mtu anakubali unakula tunda,kesho anakuja na ID mpya ya kwanza anaacha,halafu anaanza kukuchokoza kwa id mpya kujipitisha pitisha,
Ukimtongoza tu atajifanya anakubali halafu sasa anakuja tena na ile ya zamani kama anakujulia hali vile.
Mapenzi bila unafki hayaendi
Kwani huyu jamaa alikuwa serious?! Sio mambo ya chit chatUsithubutu kumfungalia uzi mwanamke wa JF kama hujakua na uhakika niwako au utammiliki.( ujinga nikuandika uzi alafu demu anakuambia ,ninamtu !! Alafu mbaya anaongea anacheka kabisaaa na kwa kujinadi ....eti
"" thank youuuu my kaka ila nina mtu tayari ,Mungu atakupa anayekufaa'"" ......
Bro bila shaka utakuja na ID mpya ,kinyume nahapo utawachukia mashe wahumu ,lkn pia utakua umejitengenezea mazingira ya kutokukubalika tena.....( unless uwe makini ktk kucheza na Akili zao) .
Chapili,, hapa ndo mnakosea ,, Mwanamme huwa hatangazi kutafuta date ,, ukitangaza nikutafuta mkee ,lkn hizi za kuanzisha mahusiani sio zakutoa tangazo..
Hizi unawafata PM hata kama wapo mia ,wee mfate mmoja baada ya mwingine alafu finally Njoo nammoja unayemuelewa zaidi na yeye akakuelewa .
Nmesema haya kwasababu , Akili za wanawake bila shaka naww unazijua vzuri tuuu "kwa ajili ya couple" atakuja but not completely into you , nakwajinsi ulivyojichanganua niww unayeonekana mwenye shida kuliko hata atakayekuja.
Sawa ukapate sawa sawa na mapenzi yako.
hahahahhaah huyu jamaa anaogopwa hata na mimi unahisi ni mchezoYaaan mwenzio akuuuu sina hata chasumu wee kaulize hata mshana au nabii tito wote watakuambia Putin nimtu wawatu!!!
Ila nakuomba plzzzz usiende kwa mng'oa kucha ...kwanza aka kakomenti asikaone kabisaaa...ibaki kua siri yako.
Hapana ninayaamini nayapi kabisaa namimi mwenyewe nimfaidika wahii mitandao na niko sawa kabisa bro.Sawa mkuu nimekuelewa sana.ur the best ila swali langu la kizushi inaonyesha u don't believe mahusiano ya kimtandao.. we upande wako hujawahi pata couple humu mkaenda fresh au ndo kuhit and run..!
hata majibu ya Putin ni ya chit chat tu mkuuKwani huyu jamaa alikuwa serious?! Sio mambo ya chit chat