Usithubutu kumfungalia uzi mwanamke wa JF kama hujakua na uhakika niwako au utammiliki.( ujinga nikuandika uzi alafu demu anakuambia ,ninamtu !! Alafu mbaya anaongea anacheka kabisaaa na kwa kujinadi ....eti
"" thank youuuu my kaka ila nina mtu tayari ,Mungu atakupa anayekufaa'"" ......
Bro bila shaka utakuja na ID mpya ,kinyume nahapo utawachukia mashe wahumu ,lkn pia utakua umejitengenezea mazingira ya kutokukubalika tena.....( unless uwe makini ktk kucheza na Akili zao) .
Chapili,, hapa ndo mnakosea ,, Mwanamme huwa hatangazi kutafuta date ,, ukitangaza nikutafuta mkee ,lkn hizi za kuanzisha mahusiani sio zakutoa tangazo..
Hizi unawafata PM hata kama wapo mia ,wee mfate mmoja baada ya mwingine alafu finally Njoo nammoja unayemuelewa zaidi na yeye akakuelewa .
Nmesema haya kwasababu , Akili za wanawake bila shaka naww unazijua vzuri tuuu "kwa ajili ya couple" atakuja but not completely into you , nakwajinsi ulivyojichanganua niww unayeonekana mwenye shida kuliko hata atakayekuja.
Sawa ukapate sawa sawa na mapenzi yako.