hahahhaahah hayo manenoNapunga upepo njeee namsubir Mr atoke so naperuz na kudadiss
Ooops jjehaaaa acha utani bhana mkuu, ndo nimekuwa putin mara hii? asante kwa kunibali jinsia
Hahahahaha chizi weeeee lionehata majibu ya Putin ni ya chit chat tu mkuu
teh
sio kumlimbwata kuna mkuu anasema anataka kuja pm nikasema lazima afanyiwe ukaguguzi na mganga mkuu wa hukuUjumbeee umefika akija nitamwambiaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Loh unataka kumlimbwata nan?
thanks, nimestuka ujueOoops jje
hahahahahah kwani ulikuwa hujatambua?Hahahahaha chizi weeeee lione
Baki na RRONDO wako ...wacha niendelee na kibajaji changu.hahahahahah mie napenda gari bhana, rejea uzi wangu mkuu
DJ sepeti juzi kawauliza ,ukiamka ukakuta jinsia imebadilika utafanyajehaaaa acha utani bhana mkuu, ndo nimekuwa putin mara hii? asante kwa kunibali jinsia
huyu nae anahisi Mungu ni wa sport sportDJ sepeti juzi kawauliza ,ukiamka ukakuta jinsia imebadilika utafanyaje
Nilikua sijatambua aiseeeee ..basi niruhusu basi weee naye nikufukunyueeeehahahahahah kwani ulikuwa hujatambua?
chizi mwenyewe
Ndo matokeonyake RRONDO leo kakutikisa kidogo umehaha,,,,,lkn ungemjibu DJ wala usingestuka hivihuyu nae anahisi Mungu ni wa sport sport
teh teh hata sikujibu mie maana sitaki kuwaza vitu ambavyo ni imposible
Tafta mpyaNapendekeza jolie jolie
Yote ya nini sasa kufanya hivyoMapenzi ya JF magumu sana,unamtongoza mtu anakubali unakula tunda,kesho anakuja na ID mpya ya kwanza anaacha,halafu anaanza kukuchokoza kwa id mpya kujipitisha pitisha,
Ukimtongoza tu atajifanya anakubali halafu sasa anakuja tena na ile ya zamani kama anakujulia hali vile.
Mapenzi bila unafki hayaendi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Usithubutu kumfungalia uzi mwanamke wa JF kama hujakua na uhakika niwako au utammiliki.( ujinga nikuandika uzi alafu demu anakuambia ,ninamtu !! Alafu mbaya anaongea anacheka kabisaaa na kwa kujinadi ....eti
"" thank youuuu my kaka ila nina mtu tayari ,Mungu atakupa anayekufaa'"" ......
Bro bila shaka utakuja na ID mpya ,kinyume nahapo utawachukia mashe wahumu ,lkn pia utakua umejitengenezea mazingira ya kutokukubalika tena.....( unless uwe makini ktk kucheza na Akili zao) .
Chapili,, hapa ndo mnakosea ,, Mwanamme huwa hatangazi kutafuta date ,, ukitangaza nikutafuta mkee ,lkn hizi za kuanzisha mahusiani sio zakutoa tangazo..
Hizi unawafata PM hata kama wapo mia ,wee mfate mmoja baada ya mwingine alafu finally Njoo nammoja unayemuelewa zaidi na yeye akakuelewa .
Nmesema haya kwasababu , Akili za wanawake bila shaka naww unazijua vzuri tuuu "kwa ajili ya couple" atakuja but not completely into you , nakwajinsi ulivyojichanganua niww unayeonekana mwenye shida kuliko hata atakayekuja.
Sawa ukapate sawa sawa na mapenzi yako.
Weee siunatuchukia sisi wanaume tunaomiliki bajaji.Prondo tena jamani? umeanza lini uchizi wa kuota mchana?
Mbavu zangu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo hali halis, mie sinimeshaona jamaa wanajitia wazimu nakufungulia watu nyuzi ilihali hawajawa na uhakika km wako in relationship au hapana !!
Kwa taarifa nikwamba kuna watu wanadate humu ndani chini chinj yaa kimyaaaa bila sauti ,watu wananjenjana polepole tu bila kupiga yowe.
Alafu kesho unamwanzishia uz weeeeeeeed nai kasema ...utajibia tuu
** hahahahahahahahah asante my dear ila umechelewa my mkaka mzurii ,nishawaiwa mimiiiii****
Alafu sekunde tatu,,, unaona Bwanake analike post yako ,analike na komenti ya demu wake.
Dadeki ,,, kama hautotaman kuufuta huo uzi ?? Nahivi mods wenyewe mpaka uwabembelezeee ,,, basi itajikuta kila lisaaa unaanzisha vinyuzi vya ajabu ajabu ili viisikumie mbali iyo nyuzi yako yakumhusu demu ..
Hawa ndo wadada wa Jamiiforums na wakaka zao !![emoji3][emoji3][emoji3]
sasa niishi kwa wazazi hawana gari niolewe tena na ambae hana? akhuuu mie niache kabisaaaaaaaaaaaaWeee siunatuchukia sisi wanaume tunaomiliki bajaji.
Na nitaanzisha kampeni jwaajili yako weee mwenye msimami mkali utadhan muislamu wa saudi arabia