Aliye tayari kuwa 'new couple' special kwa ajili ya JF

Aliye tayari kuwa 'new couple' special kwa ajili ya JF

sasa niishi kwa wazazi hawana gari niolewe tena na ambae hana? akhuuu mie niache kabisaaaaaaaaaaaa
Nakuambia ivi nmekomaaaaaa , sikufati PM tena nakama ni kukutongoza ,nitakutongozea hapa hapa jukwaaan.

J i can make you say " i love you"
 
Usithubutu kumfungalia uzi mwanamke wa JF kama hujakua na uhakika niwako au utammiliki.( ujinga nikuandika uzi alafu demu anakuambia ,ninamtu !! Alafu mbaya anaongea anacheka kabisaaa na kwa kujinadi ....eti

"" thank youuuu my kaka ila nina mtu tayari ,Mungu atakupa anayekufaa'"" ......

Bro bila shaka utakuja na ID mpya ,kinyume nahapo utawachukia mashe wahumu ,lkn pia utakua umejitengenezea mazingira ya kutokukubalika tena.....( unless uwe makini ktk kucheza na Akili zao) .

Chapili,, hapa ndo mnakosea ,, Mwanamme huwa hatangazi kutafuta date ,, ukitangaza nikutafuta mkee ,lkn hizi za kuanzisha mahusiani sio zakutoa tangazo..

Hizi unawafata PM hata kama wapo mia ,wee mfate mmoja baada ya mwingine alafu finally Njoo nammoja unayemuelewa zaidi na yeye akakuelewa .

Nmesema haya kwasababu , Akili za wanawake bila shaka naww unazijua vzuri tuuu "kwa ajili ya couple" atakuja but not completely into you , nakwajinsi ulivyojichanganua niww unayeonekana mwenye shida kuliko hata atakayekuja.

Sawa ukapate sawa sawa na mapenzi yako.
haha haaaa puttin bhanaaa
 
Mapenzi ya JF magumu sana,unamtongoza mtu anakubali unakula tunda,kesho anakuja na ID mpya ya kwanza anaacha,halafu anaanza kukuchokoza kwa id mpya kujipitisha pitisha,

Ukimtongoza tu atajifanya anakubali halafu sasa anakuja tena na ile ya zamani kama anakujulia hali vile.

Mapenzi bila unafki hayaendi
hahaaaa hahaaaaa ....wapenzi wa Jf.....Oyeeeeeeeee
 
Ndo hali halis, mie sinimeshaona jamaa wanajitia wazimu nakufungulia watu nyuzi ilihali hawajawa na uhakika km wako in relationship au hapana !!

Kwa taarifa nikwamba kuna watu wanadate humu ndani chini chinj yaa kimyaaaa bila sauti ,watu wananjenjana polepole tu bila kupiga yowe.

Alafu kesho unamwanzishia uz weeeeeeeed nai kasema ...utajibia tuu

** hahahahahahahahah asante my dear ila umechelewa my mkaka mzurii ,nishawaiwa mimiiiii****

Alafu sekunde tatu,,, unaona Bwanake analike post yako ,analike na komenti ya demu wake.


Dadeki ,,, kama hautotaman kuufuta huo uzi ?? Nahivi mods wenyewe mpaka uwabembelezeee ,,, basi itajikuta kila lisaaa unaanzisha vinyuzi vya ajabu ajabu ili viisikumie mbali iyo nyuzi yako yakumhusu demu ..

Hawa ndo wadada wa Jamiiforums na wakaka zao !![emoji3][emoji3][emoji3]
hahahàaaaa...najua hautumiagi vilevi ....lakini Nina mashaka leo utakuwa umevuta aiseee...daaahh. hhaaaaha
 
Back
Top Bottom