Aliye tayari kuwa 'new couple' special kwa ajili ya JF

sasa niishi kwa wazazi hawana gari niolewe tena na ambae hana? akhuuu mie niache kabisaaaaaaaaaaaa
Nakuambia ivi nmekomaaaaaa , sikufati PM tena nakama ni kukutongoza ,nitakutongozea hapa hapa jukwaaan.

J i can make you say " i love you"
 
haha haaaa puttin bhanaaa
 
hahaaaa hahaaaaa ....wapenzi wa Jf.....Oyeeeeeeeee
 
hahahàaaaa...najua hautumiagi vilevi ....lakini Nina mashaka leo utakuwa umevuta aiseee...daaahh. hhaaaaha
 
hahahahaha nimejikuta nacheka mwenyewe. Tuseme basi hata wewe ulishaenda PM kwa wengi ukaja huko na Mima white.
ushauri mubashara kabisaaaaaaaaaaaaa, maana sio kwa kubahatisha hukooooooooooooo

teh teh

Cc. CUTE mima
aiseeee ..hii inaitwa kufikiri nje ya box aiseeee """


huu si uchochezi huu mkuu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…