Aliye tayari kuwa 'new couple' special kwa ajili ya JF

Aliye tayari kuwa 'new couple' special kwa ajili ya JF

Umenchekesha sana
Ndo hali halis, mie sinimeshaona jamaa wanajitia wazimu nakufungulia watu nyuzi ilihali hawajawa na uhakika km wako in relationship au hapana !!

Kwa taarifa nikwamba kuna watu wanadate humu ndani chini chin yaan kimyaaaa bila sauti ,watu wananjenjana polepole tu bila kupiga yowe.

Alafu kesho unamwanzishia uz weeeeeeee nani kasema ...utajibiwa tuu

** hahahahahahahahah asante my dear ila umechelewa my mkaka mzurii ,nishawaiwa mimiiiii****

Alafu sekunde tatu,,, unaona Bwanake analike post yako ,analike na komenti ya demu wake.

Dadeki ,,, kama hautotaman kuufuta huo uzi ?? Nahivi mods wenyewe mpaka uwabembelezeee ,,, basi itajikuta kila lisaaa unaanzisha vinyuzi vya ajabu ajabu ili viisikumie mbali iyo nyuzi yako yakumhusu demu ..

Hawa ndo wadada wa Jamiiforums na wakaka zao !![emoji3][emoji3][emoji3]
 
Aiseeee........ naona Jf imebadilika kwa kasi ya ajabu kuliko mwendo wa treni ya mwendo kasi...... Yaani kapo zimekua ndio headlines zinazo tamalaki kwa kasi kila kukicha.....tehteehh..... all the best mkuu
 
Ndo hali halis, mie sinimeshaona jamaa wanajitia wazimu nakufungulia watu nyuzi ilihali hawajawa na uhakika km wako in relationship au hapana !!

Kwa taarifa nikwamba kuna watu wanadate humu ndani chini chinj yaa kimyaaaa bila sauti ,watu wananjenjana polepole tu bila kupiga yowe.

Alafu kesho unamwanzishia uz weeeeeeeed nai kasema ...utajibia tuu

** hahahahahahahahah asante my dear ila umechelewa my mkaka mzurii ,nishawaiwa mimiiiii****

Alafu sekunde tatu,,, unaona Bwanake analike post yako ,analike na komenti ya demu wake.

Dadeki ,,, kama hautotaman kuufuta huo uzi ?? Nahivi mods wenyewe mpaka uwabembelezeee ,,, basi itajikuta kila lisaaa unaanzisha vinyuzi vya ajabu ajabu ili viisikumie mbali iyo nyuzi yako yakumhusu demu ..

Hawa ndo wadada wa Jamiiforums na wakaka zao !![emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahahhahaha "pole my kaka nimeshawahiwa mimi" hihihiiii em kwanza nikae chini ncheke

We imeshakukuta ee??
 
Watu wa huku wajanja sana,unakuta ana account kama 3,na kila moja ina mpenzi wake tofauti,kwenye id hii mahaba na huyu,kwenye Id nyingine ana mahaba na mwingine.
Wanatafuta Haki sawa nao eti wawe na zaidi ya mmoja. Mambo yamepinduka siku hizi aisee
 
Back
Top Bottom