Aliyebaka na Kuua Mke wa Mwenyekiti Akamatwa..Njaa Yamtoa Mafichoni

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
Untitled-1_0 (4).jpg

Jeshi la polisi mkoani Kagera limefanikiwa kumkamata kijana Paschal Kaigwa (22) mzaliwa wa Kishogo Bukoba Vijijini, ambaye anatuhumiwa kumbaka na kumuua mke wa mwenyekiti wa mtaa wa National Housing kata ya Rwamishenye katika manispaa ya Bukoba, aitwaye Khadija Ismail (29)
Kamanda wa polisi mkoani Kagera William Mwampaghale amesema kuwa mtuhumiwa huyo alijificha katika vichaka na kwamba baada ya kukaa huko bila chakula, aliamua kutoka mafichoni na kwenda nyumbani kwa shangazi yake katika mtaa wa Katatorwansi ulioko katika manispaa ya Bukoba
Imeelezwa kuwa alipofika alikuta watoto ambao baada ya kumuona walipiga kelele na kuwezesha wananchi kumkamata.
"Njaa ilimtoa mafichoni akaenda kwa shangazi yake, lakini watoto aliowakuta pale walikuwa tayari wana taarifa, kutokana na taarifa zenu mlizozitangaza kuwa anatafutwa, tumemkamata juzi tarehe 19/02/2023 saa kumi jioni, tunaye tunamhoji na tutamfikisha kwenye vyombo vya kishera" amesema Kamanda Mwampaghale
Februari 13 mwaka huu majira ya jioni, kijana huyo ambaye alikuwa amepewa hifadhi nyumbani kwa mwenyekiti wa mtaa huo kutokana na kutokuwa na mahali pa kuishi, anadaiwa kumbaka na kumuua mke wa mwenyekiti na kisha kutoweka
Imeandaliwa na Kimodomsafi
 
Ukiangalia kama huyu sio muhusika kabisa labda kutokana na hofu wakati lishatokea.
Mimi bado linanipa mashaka .huko mikoani kuna vijana ukiwaona majumba mabovu yana wakuta
FB_IMG_1676814284155.jpg
 
View attachment 2525405

wandg
 
Ukiangalia kama huyu sio muhusika kabisa labda kutokana na hofu wakati lishatokea.
Mimi bado linanipa mashaka .huko mikoani kuna vijana ukiwaona majumba mabovu yana wakuta View attachment 2525450
kala mbunye na kuuwa xcjuwi lengo lake kupoteza ushahidi?Bwege huyu kama vipi angeenda hatadisco au baaniwakaokotane huko kwa ridhaa hatbngechekwa kapiga aliyemzidi umri lakini yamgepita akiwa huru.
 
Nahisi pia huyo jamaa atakuwa na matatizo ya Akili.
Embu waza haya.
-Hakuwa na mahali pa kuishi (ana tanga tanga)
-Kubaka mtu
-Kuua aliyembaka
-Kupotelea vichakani
-Kurejea mazingira anayofahamika.
Wanadamu wakiamua kulibeba jambo ogopa.
Kwa ulichokisema bado kufikia mauaji na kubaka mimi.bado na mashaka.
Kuna mazingira ila tusubiri jeshi la polisi litakuja na ukweli au mungu mwenyewe
 
Silaha ya mauaji imepatikana ?

Vinasaba vya mtuhumiwa vipo kwenye utupu wa mhanga ?

Alama za vidole vya mtuhumiwa vimeonekana kwenye silaha au mwili wa mhanga ?

Suspect is entitled to a presumption of innocence and competent defense.
 
View attachment 2525405

Jeshi la polisi mkoani Kagera limefanikiwa kumkamata kijana Paschal Kaigwa (22) mzaliwa wa Kishogo Bukoba Vijijini, ambaye anatuhumiwa kumbaka na kumuua mke wa mwenyekiti wa mtaa wa National Housing kata ya Rwamishenye katika manispaa ya Bukoba, aitwaye Khadija Ismail (29)
Kamanda wa polisi mkoani Kagera William Mwampaghale amesema kuwa mtuhumiwa huyo alijificha katika vichaka na kwamba baada ya kukaa huko bila chakula, aliamua kutoka mafichoni na kwenda nyumbani kwa shangazi yake katika mtaa wa Katatorwansi ulioko katika manispaa ya Bukoba
Imeelezwa kuwa alipofika alikuta watoto ambao baada ya kumuona walipiga kelele na kuwezesha wananchi kumkamata.
"Njaa ilimtoa mafichoni akaenda kwa shangazi yake, lakini watoto aliowakuta pale walikuwa tayari wana taarifa, kutokana na taarifa zenu mlizozitangaza kuwa anatafutwa, tumemkamata juzi tarehe 19/02/2023 saa kumi jioni, tunaye tunamhoji na tutamfikisha kwenye vyombo vya kishera" amesema Kamanda Mwampaghale
Februari 13 mwaka huu majira ya jioni, kijana huyo ambaye alikuwa amepewa hifadhi nyumbani kwa mwenyekiti wa mtaa huo kutokana na kutokuwa na mahali pa kuishi, anadaiwa kumbaka na kumuua mke wa mwenyekiti na kisha kutoweka
Imeandaliwa na Kimodomsafi
Atavuna alichokipanda.
 
kala mbunye na kuuwa xcjuwi lengo lake kupoteza ushahidi?Bwege huyu kama vipi angeenda hatadisco au baaniwakaokotane huko kwa ridhaa hatbngechekwa kapiga aliyemzidi umri lakini yamgepita akiwa huru.
Hupo kwenye maeneo lilipotukio.
Unakumbuka kisa cha kijana yule mwananyamala iliyotoka mirrad ayo.
 
View attachment 2525405

Jeshi la polisi mkoani Kagera limefanikiwa kumkamata kijana Paschal Kaigwa (22) mzaliwa wa Kishogo Bukoba Vijijini, ambaye anatuhumiwa kumbaka na kumuua mke wa mwenyekiti wa mtaa wa National Housing kata ya Rwamishenye katika manispaa ya Bukoba, aitwaye Khadija Ismail (29)
Kamanda wa polisi mkoani Kagera William Mwampaghale amesema kuwa mtuhumiwa huyo alijificha katika vichaka na kwamba baada ya kukaa huko bila chakula, aliamua kutoka mafichoni na kwenda nyumbani kwa shangazi yake katika mtaa wa Katatorwansi ulioko katika manispaa ya Bukoba
Imeelezwa kuwa alipofika alikuta watoto ambao baada ya kumuona walipiga kelele na kuwezesha wananchi kumkamata.
"Njaa ilimtoa mafichoni akaenda kwa shangazi yake, lakini watoto aliowakuta pale walikuwa tayari wana taarifa, kutokana na taarifa zenu mlizozitangaza kuwa anatafutwa, tumemkamata juzi tarehe 19/02/2023 saa kumi jioni, tunaye tunamhoji na tutamfikisha kwenye vyombo vya kishera" amesema Kamanda Mwampaghale
Februari 13 mwaka huu majira ya jioni, kijana huyo ambaye alikuwa amepewa hifadhi nyumbani kwa mwenyekiti wa mtaa huo kutokana na kutokuwa na mahali pa kuishi, anadaiwa kumbaka na kumuua mke wa mwenyekiti na kisha kutoweka
Imeandaliwa na Kimodomsafi
Njaa sio kitu cha kuingia nacho mkataba, inaweza kukusaliti muda wowote ule.
 
Back
Top Bottom