Aliyebaka na Kuua Mke wa Mwenyekiti Akamatwa..Njaa Yamtoa Mafichoni

Silaha ya mauaji imepatikana ?

Vinasaba vya mtuhumiwa vipo kwenye utupu wa mhanga ?

Alama za vidole vya mtuhumiwa vimeonekana kwenye silaha au mwili wa mhanga ?

Suspect is entitled to a presumption of innocence and competent defense.
Watoto wa shangazi hawawezi kosea
 
Mbona ka sio .... Kuna jambo behind the scenes
 
Ni ajabu sana. Kwa nini upotee!?
Unajua kwa tukio la mtu kuona marehemu kuna mwengine linaweza kumpa wasi wasi na ikaonesha mazingira kama kahusika.
Ulipata hii.
 

Attachments

  • images%20(9).jpg
    35.6 KB · Views: 1
Nahisi pia huyo jamaa atakuwa na matatizo ya Akili.
Embu waza haya.
-Hakuwa na mahali pa kuishi (ana tanga tanga)
-Kubaka mtu
-Kuua aliyembaka
-Kupotelea vichakani
-Kurejea mazingira anayofahamika.
Asee hata mie nliwaza hivyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…