Aliyebakia ni Iran tu ili wazayuni watimize malengo yao

Wewe unatuletea story za kwenye Kahawa,!!!!!!!!
Tujikumbushe kidogo. πŸ‘‡πŸ‘‡

Samahani, naomba nikupe maelezo kwa kina kuhusu mashambulizi ya kushtukiza yaliyofanywa na Misri kwa Israel mwaka 1973, ambayo yanajulikana kama Vita vya Yom Kippur au Vita vya Oktoba.

Muktadha wa Kihistoria:
Tangu kumalizika kwa Vita vya Siku Sita mwaka 1967, Israel ilikuwa imeshikilia maeneo mengi ya Kiarabu, ikiwa ni pamoja na Rasi ya Sinai (iliyokuwa ya Misri) na Milima ya Golan (iliyokuwa ya Syria). Misri na Syria zilitaka kurejesha maeneo haya na kurejesha heshima yao baada ya kushindwa vibaya mwaka 1967.

Mipango na Maandalizi ya Mashambulizi:
  • Siri na Udanganyifu: Rais wa Misri, Anwar Sadat, kwa ushirikiano na Rais wa Syria, Hafez al-Assad, walipanga mashambulizi kwa siri kubwa. Walitumia mbinu za udanganyifu kuwafanya Waisraeli wasishuku ukubwa wa maandalizi yao.
  • Tarehe ya Mashambulizi: Tarehe 6 Oktoba 1973 ilichaguliwa kwa makusudi. Ilikuwa siku ya Yom Kippur, siku takatifu zaidi katika kalenda ya Kiyahudi, ambapo Waisraeli wengi walikuwa kwenye maombi na shughuli nyingi zilikuwa zimesimama. Pia, ilikuwa wakati wa mwezi wa Ramadan kwa Waislamu.
  • Ushirikiano na Nchi Nyingine za Kiarabu: Misri na Syria ziliungwa mkono na nchi nyingine za Kiarabu, ikiwa ni pamoja na Iraq, Jordan, Algeria, Morocco, na Saudi Arabia, ambazo zilitoa wanajeshi na rasilimali.
  • Silaha za Kisasa: Nchi za Kiarabu zilikuwa zimejizatiti kwa silaha za kisasa kutoka Umoja wa Kisovieti, ikiwa ni pamoja na makombora ya kujihami na vifaru vya kisasa.
Jinsi Mashambulizi Yalivyofanyika:
  • Saa na Mahali: Mashambulizi yalianza saa 8:00 mchana kwa saa za Misri (saa 2:00 mchana kwa saa za Israel). Misri ilishambulia kuvuka Mfereji wa Suez kuelekea Rasi ya Sinai, huku Syria ikishambulia kuelekea Milima ya Golan.
  • Mfereji wa Suez: Misri ilitumia mbinu za kijeshi za ubunifu kuvuka Mfereji wa Suez, ikiwa ni pamoja na kutumia mabomba ya maji yenye nguvu kusafisha vizuizi vya mchanga vilivyokuwa vimejengwa na Israel (maarufu kama Bar-Lev Line). Wanajeshi wa Misri walivuka kwa haraka na kuimarisha ngome upande wa mashariki wa mfereji.
  • Milima ya Golan: Syria ilianzisha mashambulizi makubwa kwa vifaru na ndege dhidi ya ngome za Israel kwenye Milima ya Golan. Mwanzoni, walifanikiwa kusonga mbele kwa kasi kutokana na mshangao na wingi wa wanajeshi.
Athari za Awali za Mashambulizi:
  • Mshangao kwa Israel: Mashambulizi hayo yaliwashangaza sana Waisraeli. Ujasusi wao ulikuwa umeshindwa kugundua ukubwa wa maandalizi ya adui, na wanajeshi wengi walikuwa hawako tayari kutokana na Yom Kippur.
  • Mafanikio ya Awali ya Nchi za Kiarabu: Katika siku za kwanza za vita, Misri na Syria walipata mafanikio makubwa, wakisonga mbele katika Sinai na Golan Heights.
  • Hasara Kubwa kwa Pande Zote: Pamoja na mafanikio ya awali ya Waarabu, vita vilikuwa vikali na vilisababisha hasara kubwa kwa pande zote mbili kwa wanajeshi na vifaa.
Mabadiliko ya Mkondo wa Vita:
  • Kusimama kwa Mashambulizi ya Waarabu: Baada ya kufikia malengo yao ya awali, mashambulizi ya Misri na Syria yalianza kupungua kasi.
  • Majibu ya Israel: Israel ilianza kuhamasisha wanajeshi wake wa akiba na kupanga mashambulizi ya kujibu.
  • Kuvuka Mfereji wa Suez na Israel: Baada ya mapigano makali, Israel ilifanikiwa kuvuka Mfereji wa Suez na kuingia upande wa magharibi, na kuzingira sehemu ya jeshi la Misri.
  • Msaada wa Kimataifa: Marekani ilianza kuisambazia Israel silaha na vifaa, wakati Umoja wa Kisovieti uliisaidia Syria na Misri. Hali hii iliongeza wasiwasi wa kuongezeka kwa mzozo wa kimataifa.
  • Usuluhishi wa Umoja wa Mataifa: Umoja wa Mataifa ulitoa wito wa kusitisha mapigano, na pande zote mbili zilikubali kusitisha mapigano tarehe 25 Oktoba 1973.
Matokeo ya Vita vya Yom Kippur:
  • Hakuna Mshindi wa Wazi wa Kijeshi: Hakuna upande ulioshinda vita kwa uwazi wa kijeshi.
  • Mabadiliko ya Kisiasa na Kisaikolojia: Vita vilikuwa na athari kubwa za kisiasa na kisaikolojia. Nchi za Kiarabu zilionyesha kuwa zinaweza kupigana na Israel, na Israel ililazimika kukubali kuwa haikuwa imara kama ilivyodhaniwa.
  • Mchakato wa Amani: Vita vya Yom Kippur vilifungua njia kwa mchakato wa amani kati ya Misri na Israel, ambao ulifikia kilele chake katika Mkataba wa Amani wa Camp David mwaka 1979, ambapo Israel ilirudisha Rasi ya Sinai kwa Misri.
  • Ushawishi wa Kimataifa: Vita vilionyesha umuhimu wa ushiriki wa mataifa makubwa (Marekani na Umoja wa Kisovieti) katika mzozo wa Mashariki ya Kati.
  • Embargo ya Mafuta: Nchi za Kiarabu zinazozalisha mafuta (OPEC) zilitumia silaha ya mafuta kwa kupunguza uzalishaji na kuongeza bei, na kulenga nchi zilizoiunga mkono Israel, jambo lililosababisha msukosuko wa kiuchumi duniani.
Kwa kifupi, mashambulizi ya kushtukiza ya Misri kwa Israel mwaka 1973 yalikuwa sehemu muhimu sana katika historia ya mzozo wa Mashariki ya Kati. Ingawa Israel ilifanikiwa kujibu na kuzuia ushindi wa Waarabu, vita hivyo vilisababisha mabadiliko makubwa katika siasa za kikanda na kimataifa, na hatimaye kupelekea kwenye mchakato wa am
ani kati ya Misri na Israel.
 
Tanzania lini itakuwa great? Af hayo mafuta wsnauogombania wanawagawia ? Vipi mtaruhusiwa kuhamia huko islael ikiwa kubwa? Waislael weusi wa Ethiopia wamewahasi wote sasa nyie weusi wa huku si ndoo watawabanika.
Support SAHEL NATION, greatness for black people achaneni na manyang'au wa Asia hawana faida yoyote kwenu zaidi ya kuwaibia kwa mikataba fake.
Mtu kama wewe usiojithamini ukipewa ungozi ndio mnaouzaga vipande vya ardhi kwa hao watu mnaowaabudu.
Mmejishusha thamani kabisa dhidi wa warabu? Wayahudi, wazu0ngu na sasa wachina.
Ushauri wangu .bsowapenda hao watu muhamie huko huko, kama ni mtumwa wa dini ya warabu hamia urabuni na mtumwa wa dini za wayahudi hamia islael mtupunguzie ghasia sisi tubaki tunatambika na kudumisha mila.
 
Wahi Hospitali kabla hujaanza kuokota Makopo!!
 
Hii raman ingekuwa kweli chini ya unipolar wa usa kwa kadri muda unavyoenda huo uwezekano haupo kabisa
 
Kila siku utasikia anayetafutwa ni mwajemi mbona yupo hapo wanamtafuta wapi
 
Kawaida ya Watembea na mavi kunukisha sehemu wanazo pita siku mkristo akianza kuchamba kwa maji ndio atapata akili.

Kwa sasa Akili zako na badhi ya vichaa humu wa kikristo zimekaa kama toilet paper.
Kima we kama ushakunya mavi makali kwaajili ya kula pilipili ukizani supu usinilaumu.
Halafu nyie wana mAdrass mnanuka nya nyie ******* malaya.
Ndo mana mnaliwa mpk na na kina manara na wanawaacha.
 
Kima we kama ushakunya mavi makali kwaajili ya kula pilipili ukizani supu usinilaumu.
Halafu nyie wana mAdrass mnanuka nya nyie ******* malaya.
Ndo mana mnaliwa mpk na na kina manara na wanawaacha.
Mtembea na mavi anajidai leo kuongea lini nyie mliwacha kutembea na mavi toka lini mavi ya katoka kwa toilet paper.

We unaonyesha ulisha liwa zamani sana sababu unasifia wanaume walie mchokonoa, eti Manara kumbe hata Manara kisha kupitia sio pole sana.
 
Kumbe kuna michokolewa hapa.
Nyinyi wasilamu si kila siku mnakula mafi,
We hapo si mzima kinyeo chako ni mali ya maustaadh wa madrassa pumbavu wewe mimi mgalatia na ni eshmael kindakindaki ndo ujue.
We ukijiita adiosamigo ni mnduku uliozirwa na sisi tutakupeleka kuzimu we nyau huku matakoni pako wazi kama bwawa la hombolo.
 
Iran kushindwa kijeshi ni ngumu ni ngumu kwa sababu nchi za NATO na USA zimefanya kosa kubwa sana ...nalo ni kumsababishia iran kupata marafiki wasio waislamu tena mwenye nguvu hasa hasa URUSSI.... kukurukakara za NATO na USA zimewaponza wenyewe ...kosa kubwa sana ...ukweli ni kwamba iran kurudishwa nyuma njia iliyo baki kwa USA na ISRAELI na NATO ni moja tu nayo ni kuitengenezea Iran fitina ya ndani kwa ndani ya wenyewe kwa wenyewe ili serikali ya IRAN ianguke basi ...hskuna njia nyingine zaidi ya hiyo .. tena kwa sasa iran inao mwanya wakuunda hata siraha za nuke kwa sababu ya backup aliyo nayo.
 
Jinsi mlivyo wasifiaga hisbollah na kilichowakuta hawana hamu kabisa. Huwa nasema ni mara elfu Hamas kuliko hao hisbollah..
 
Saudi arabia wameanza kutumia akili vizuri na kutambua ukweli wanachokifanya saudi arabia ni kutumia uongo wa muhammad kupata fedha maana uongo wa muhammad na uongo wa dini yake vina faida ya kiuchumi kwa Saudia arabia milele duniani kwa sababu ya HiJA maana itskuwa ngu nguzo ya uchumi wa Saudia badala ya mafuta kwa kadili siku zinavyo zidi kwenda ...hekima na akili yangu inafumbua fumbo na kusema kama muhammad asinge buni hija basi saudi arabia ingekuwa mbali na uislamu na muhammad, ila sasa wanashindwa kufanya hivyo japo ukweli wameujua kuwa Muhammad silolote na dini yake ni utapeli tu ....ukweli mwingine ni kwamba waafrica ndiyo tunakwenda kuvishwa vazi la dini... na fitina zake...na chuki zake...na ujinga wake...na tutalivaa kwa nguvu kuliko waarabu na madhara yake yatakuwa makubwa yenye kumwaga damu nyingi sana na kuleta umasikini na vita na chuki na magomvi na uonevu vyote hivyo vita hamia africa ....ndiyo maana tuna tahadharisha sana Serikali kutojiusisha na mambo ya dini au kutoa kipaumbele kwa mambo ya dini haya ni baadhi ya makosa ya serikali ambayo yata sababisha maafa kwa afrika kutokana na dini....

1)serikali kuruhusu masomo ya dini mashuleni
2)Serikali kuruhusu hijabu mashuleni
3)Serikali kutoa upendeleo kwenye mambo ya dini
4)Serikali kuwalipa mishahara au posho viongozi wa dini
5)serikali kuchanganganya dini na siasa .
6)Serikali kuchanganya serikali na dini.
7)Serikali kuruhusu shule za elimu dunia zinazo milikiwa na dini kufundisha dini au kufanya mambo ya dini ...(ilitakiwa shule za elimu dunia hata kama zinamilikiwa na taasisi za dini zisiwe za kidini tena kuanzia kwenye majina yake zisipewe majina ya kidini ...(hapa inatakiwa tujiuliza nini kinapandikizwa pale mtoto wa kitanzania anaposoma kwenye shule za elimu dunia zenye milengo ya kidini toka mdogo anasoma na waislamu wenzake tu na mkristo anasoma na wakristo wenzake tu baadae wanakuja kukutanika waislamu wa hivyo na wakristo wa hivyo serikalini kama wafanyakazi je kutakuwa na umoja na ushirika mzuri kiutendaji...je fitina na chuki na figisu zita pungua au kuongezeka je ajenda ya kujenga nchi haita athiliwa na udini .. je umoja hauta athiliwa na udini serikali na kitaifa ....kuchanganyika mashuleni wakristo na waislamu kuna umuhimu sana kuliko kuwa tenganisha... tena waislamu na wakristo wasome shule bila ya dalili za mambo ya dini.
8)redio na tv za dini ni kosa lingine kulitakiwa kuwe na tv 2 tu za dini na radio 2 tu za dini ....redio 1 na tv 1 kwa ajili ya waislamu na redio 1 na tv 1 kwa ajili ya wakristo hivyo madhehebu yote yanunue vipindi kwenye hizo redio au tv.
9)ujenzi wa makanisa na misikiti kosa ni kuacha misikiti na makanisa kujengwa kila kona kana kwamba ucha Mungu ni kuwa na wingi wa makanisa na misikiti (serikali inatakiwa kuhakikisha misikiti inakuwa michache ila mikubwa na makanisa hivyo hivyo yanatakiwa kuwa machache ikiwezekana kila wilaya makanisa yasizidi manne na misikiti isizidi minne.
10)serikali kuzuia wafadhiri wa nje wa mambo ya dini (kuzuia taifa kufitinishwa na wageni kwa kutumia ....kama ni ufadhili uwe ni wa vitu visivyo vya kidini hata kama utatolewa na watu wa dini kutoka nje, kile watakacho fadili kiwafae watanzania wote .
 
Jinsi mlivyo wasifiaga hisbollah na kilichowakuta hawana hamu kabisa. Huwa nasema ni mara elfu Hamas kuliko hao hisbollah..
Waziri wa israel walisema walipoteza askari 6000 pale lebenon peke yake unadhani ni kidogo
 
Tatizo lako hujui wazima na wabovu sababu wewe ni mbovu mimi nawambia wakristo wacheni kutembea na mavi mnanukisha mji. We si Bwawa tu la mapadri wakikosa vilisa wanazamia kwenye bwawa. Eti babu kijana unajipodoa ili upate soko sio we endelea kuwambia watu we kijana wakati ngozi yako ya nyuma imesha expired mapadri wameichafua ile mbaya.

Mwanaume mzima huwa anajikuza umri, hajishushi umri unless awe shoga tu eti babukijana.

Ushoga ni noma sana aisay 🀣
 
Huzijui siasa za Lebanon Tulia dogo
 
Siku ukija kuona nimempakata babaako ndio utacheka vizuri kenge wewe.
 
Kawaida ya Watembea na mavi kunukisha sehemu wanazo pita siku mkristo akianza kuchamba kwa maji ndio atapata akili.

Kwa sasa Akili zako na badhi ya vichaa humu wa kikristo zimekaa kama toilet paper.
Nyie wafia dini kwanini mnapenda kuharibu mada za watu kama hamna hoja? Matusi na upuuzi mnafaidika nini? Si mfungue nyuzi zenu mkatukanie huko
 
WaTanzania ukiondoa chuki za kidini vichwani wanabaki '0', yaan mwenzenu kaanzisha mada kwa facts lkn wanakuja watu humu kutoa lugha chafu zisizo na maana, wengine badala ya kujibu facts wanaleta mahaba yao ya kidini.

Back to topic, hao watu weupe wanapobondana sisi watu weusi hayatuhusu maana ni magomvi yao wenyewe, hata wakiporana mali zao watajuana wao hata muafrika alipitia hiyo hali ya kufanyiwa unyama lkn hakuna utetezi aliopata kama ninyi leo mnavyojidai mna mahaba nao ya kuwasikitikia wanapodundana.

Huyo myahudi feki anapobadiri mipaka na ramani za nchi zingine kujipa uhalali na umiliki yeye, wewe mtu mweusi unaumia nini?, mbona hata Afrika iligawiwa na kugawanywa ktk Berlin conference na hakuna utetezi wowote tuliopata wala huruma, hivyo hata yanayotokea israel-palestina, Urusi+ukranine ni mambo yale yale ya unyang'anyi ambayo tulishapitia kama afrika so ni zamu ya watu weupe kudundana sisi hayatuhusu.

Hizo dini mlizokalilishwa mkaaminishwa upuuzi zisiwafanye mkose utu na utimamu wa kujadili mambo kwa ufahamu badala yale mnaendekeza udini.

Leo hii muafrika muislamu ukimuuliza kwanini anamchukia mkristo na baadhi ya mataifa ya magharibi, hatokua na jibu la maana zaidi ya chuki alizorithishwa na hao waarabu, vile vile muafrika mkristo ukimuuliza kwanini anawachukia waislamu na baadhi ya mataifa ya kiarabu hatopata jibu zaidi ya chuki za kidini alizokalilishwa huko ktk dini za kuletewa.

Bahati mbaya sana wakoloni walichofanikiwa kuteka attention ya muafrika ni kumfunga ufahamu kwa kumpandikizia dini akilini, ambayo inamfanya muafrika kuenenda sawa na watakavyo.

Leo hii wazungu wakitaka propaganda zao na agenda zao zipate uungwaji mkono wala hawateseki watatumia mwamvuli wa dini ya ukristo na taifa feki la israel kwa wakristo wa afrika ambao wataaminishwa vile agenda zinasema, then hao waafrika wanaingia mkenge, the same thing kwa waarabu wakitaka uungwaji mkono ktk agenda zao wanakuja ktk mataifa ya waafrika yanayoamin ktk uislam na kutumia hiyo dini kama kiunganishi na hii ndio MAIN TARGET YA KUUNDWA KWA DINI, YAANI CONTROL, DIVIDE AND RULE WHATEVER YOU WANT.

Amkeni black people mnatumika vibaya.
 
Siku ukija kuona nimempakata babaako ndio utacheka vizuri kenge wewe.
Kumbe wewe ulisha pakatwa sio unaonyesha una ka experience flani. Mishoga inajulikana tu hata ijifiche vipi. Maneno yao tu unalijua shoga.

Nikukuambia wewe ni shoga una bisha mwanaume hawezi jishusha umri wake eti babu kijana unless awe shoga tu.

Wewe nenda kajianike tu kama kambale labda ukiwacha mdomo wazi unaweza kupata ndowano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…