Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Kwenye biashara iwe ni service provider au manufacturer kuna kujenga brand name lakini pia kuna logo ambayo kazi yake kubwa ni kuitambulisha brand yenyewe.
Logo ni sehemu muhimu ya kutangaza brand, huduma, bidhaa au biashara. Ni moja ya kipengele ambacho kinahitaji designer mbunifu sana ili logo ilete maana inayoendana na huduma au bidhaa.
Sasa kuna huyu aliyebuni logo ya TOYOTA ni moja ya designers wakali sana.
Kama hauna "A" tatu hauwezi kujua kuwa ndani ya hiyo logo unapata herufi T, O ,Y ,O, T, A zinazounda jina la kampuni