Aliyebuni logo ya Toyota apewe maua yake kama hauna "A" tatu hauwezi kuelewa logo hiyo ina jina la kampuni

Aliyebuni logo ya Toyota apewe maua yake kama hauna "A" tatu hauwezi kuelewa logo hiyo ina jina la kampuni

Kuna watu hununua logo tu, achilia mbali brand Kwa ukubwa wake...mfano Kuna jamaa yeye akiona ile HP tu anadata, haijui kampuni na Wala Hana habari ya kufuatilia, ila akiona HP tu basi umemmaliza, kajaza bidhaa za HP kibao na hata kiwe kibovu yeye hajali ananunua kingine fasta.
 
Mbona hata kwenye 35 bora ya logo bora duniani kwa mwaka 2024 haipo ?
35 Best Brand Logos of 2024

These logo designs answer questions we never knew we were asking about these brands and their identity. They tell a story and make you think. They make you feel something. When logos and brands work together and mesh seamlessly, sparks fly.
These are American company. Sijaona ambayo kweli inasthili kuwa best labda hiyo ya coca-cola, nyingine zote za kawaida sana.

Zipo campuni zenye logo Kali sana hata product zao zipo Bora sana nje ya marekani
 
mfano Kuna jamaa yeye akiona ile HP tu anadata, haijui kampuni na Wala Hana habari ya kufuatilia, ila akiona HP tu basi umemmaliza
Umesema vyema hii ni kweli kabisa, logo ina nafasi yake sana kwenye biashara
 
Alafu kuna hawa NIKE yaani yule bi mkubwa hata hakupata tabu ahahaha na mpaka leo anapokea mapesa yake
 
Kuna tamasha linakuja kuwa famous sana hapa tz soon as possible alafu lile logo ni mimi nime design kudadakeeee
 
😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌 Hayo maneno kama ya kaunafiki hivi dadadeki
Mkuu mimi sio mnafiki namaanisha naamini tamasha likiwa tayari utakuwa huru sasa kutujuza hiyo logo kwa sasa umetupenyezea tu kiaina 🤣
 
Back
Top Bottom