Aliyebuni logo ya Toyota apewe maua yake kama hauna "A" tatu hauwezi kuelewa logo hiyo ina jina la kampuni

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
3,651
Reaction score
11,548
Kwenye biashara iwe ni service provider au manufacturer kuna kujenga brand name lakini pia kuna logo ambayo kazi yake kubwa ni kuitambulisha brand yenyewe.

Logo ni sehemu muhimu ya kutangaza brand, huduma, bidhaa au biashara. Ni moja ya kipengele ambacho kinahitaji designer mbunifu sana ili logo ilete maana inayoendana na huduma au bidhaa.

Sasa kuna huyu aliyebuni logo ya TOYOTA ni moja ya designers wakali sana.

Kama hauna "A" tatu hauwezi kujua kuwa ndani ya hiyo logo unapata herufi T, O ,Y ,O, T, A zinazounda jina la kampuni



 
Mbona hata kwenye 35 bora ya logo bora duniani kwa mwaka 2024 haipo ?
35 Best Brand Logos of 2024

These logo designs answer questions we never knew we were asking about these brands and their identity. They tell a story and make you think. They make you feel something. When logos and brands work together and mesh seamlessly, sparks fly.
 
Aisee
 
Ni sawa ila lengo lilikuwa kuona ubunifu na umahiri wa designer wa hiyo logo
 
Kwahio kutokujua kuwa kwenye Logo kuna jina la kampuni hii inapaswa kuwa sifa nzuri au mbaya ya logo

 
Mercedes Benz na coca-cola logo pia ni the moto
The three-pointed star is a powerful symbol that represents vision, excellence, and innovation.

The star’s points stand for the three pillars of Mercedes Benz’s success: superior engineering, timeless design, and technological advancement.

Just as the star shines brightly in the night sky, Mercedes Benz aims to stand out among its competitors. The circle enclosing the star represents unity and perfection.

It signifies the brand’s commitment to bringing together different elements and creating harmonious automotive experiences.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…