Aliyechora Katuni hii anatukebehi watanzania au anaelezea ukweli jinsi tulivyo??

Aliyechora Katuni hii anatukebehi watanzania au anaelezea ukweli jinsi tulivyo??

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Wachora Katuni ulimwenguni kwa kawaida ndiyo watu wanaothibitisha ule msemo wa "Picha huongea maneno zaidi ya Elfu kwa wakati mmoja". Na sheria ya sanaa katuni mmoja hutafsiriwa kutegemea na mtu anayeiangalia.

Nchi za Afrika ya Mashariki wachora Katuni hutoa tafsiri jinsi ya watu husika wanavyoyachukulia mambo ya kisiasa na kijamii. Enzi za Magufuli nadhani mchoraji Katuni Gayo alikuwa anachora katuni ambazo haizikuwa hazipendwi sana na watawala wa wakati ule.

Leo nimeiangalia Katuni hii nikatafakari sana. Jee mchora katuni hii alikusudia nini kwa kutazama mrengo wa siasa zetu hapa Tanzania??

img_20230401_213323_319-jpg.2573402
 
Back
Top Bottom