CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Kuna siku nilisikiliza Wasafi FM kuna jamaa alihojiwa nasema anaunga mfupa uliovunjika bila kupasua tena akasema hata Mapinduzi Balama angeenda kwake angemtibu within a month.
Sasa kuna huyu kijana aliyetelekezwa na timu ya Polisi huu si ndiyo wakati wa kumtibu? Hebu mchukue kama ni pesa ya matibabu tutachangia
Sasa kuna huyu kijana aliyetelekezwa na timu ya Polisi huu si ndiyo wakati wa kumtibu? Hebu mchukue kama ni pesa ya matibabu tutachangia