Aliyeelewa kuhusu hizi bilioni 2 za kupewa content creators tafadhali anieleweshe kwa faida ya wengine pia

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Wakuu hili jambo sijalielewa hasa faida zake. BILIONI 2 ZA KUWAPA CONTENT CREATORS. Sababu za kuwapa ni nini? Faida zake je? Utaratibu wa kugawa hii bilioni 2 ukoje? Je ni content creators wenye sifa gani wanastahili kupewa?

Nimeuliza hivi maana mara nyingi pesa za serikali ambazo ni kodi zetu zimekuwa zikitolewa lakini matokeo chanya huwa madogo. Mnakumbuka mabilioni ya Kikwete, mradi wa BBT, kilimo kwanza na mikopo ya 10% ya halmashauri?

Binafsi ninaona kabla ya mabilioni serikali ingerekebisha kwanza baadhi ya sheria ili watengeneza maudhui wasipate bugudha zisizo za lazima kwenye kazi zao. Kwa mfano content creators wengi wanalalamika kuhusu sheria zinazowabana kutengeneza contents zao kwenye maeneo mengi. Hata Prof Jay na Mbosso walishawahi lalamika kupata wakati mgumu ku-shoot videos zao kwenye national parks na baadhi ya maeneo ya vivutio.

Pia mngewapa hata tax exemption wanapoagiza camera na vifaa vingine vya kazi zao.
 
1 Serikali ya CCM inaamini kwamba kwa sasa vita inapiganwa mitandaoni siyo lazima mtu ashike bunduki.

2. Wanaandaa jeshi ya content creators wakapandishe nyuzi kupambana na akina Mange.

3 Contents creators wa CCM watakuwa ni watu wa propaganda kupoteza ukweli.

4..CCM imeshaharibu kwa wasanii na mpira vimepoteza mvuto sasa wanaenda online kuhadaa wajinga.

5.Machawa wamepotea na kuogopa kwa hiyo Contents creators watakuwa ni machawa wasioonekana na ngumu kuwajua wote.

6. Kwa hiyo hii ni mbinu ya CCM kutaka kuwateka vijana na mada mbalimbali za kuisifia CCM zitakazoandikwa na hawa Contents creators./ Chawa wapya wa mtandaoni
 
Wakuu hili jambo sijalielewa hasa faida zake. BILIONI 2 ZA KUWAPA CONTENT CREATORS. Sababu za kuwapa ni nini? Faida zake je? Utaratibu wa kugawa hii bilioni 2 ukoje? Je ni content creators wenye sifa gani wanastahili kupewa?

Nimeuliza hivi maana mara nyingi pesa za serikali ambazo ni kodi zetu zimekuwa zikitolewa lakini matokeo chanya huwa madogo. Mnakumbuka mabilioni ya Kikwete, mradi wa BBT, kilimo kwanza na mikopo ya 10% ya halmashauri?

Binafsi ninaona kabla ya mabilioni serikali ingerekebisha kwanza baadhi ya sheria ili watengeneza maudhui wasipate bugudha zisizo za lazima kwenye kazi zao. Kwa mfano content creators wengi wanalalamika kuhusu sheria zinazowabana kutengeneza contents zao kwenye maeneo mengi. Hata Prof Jay na Mbosso walishawahi lalamika kupata wakati mgumu ku-shoot videos zao kwenye national parks na baadhi ya maeneo ya vivutio.

Pia mngewapa hata tax exemption wanapoagiza camera na vifaa vingine vya kazi zao.
Tunatawaliwa na watu waajabu sana. Sisi tunalipa kodi tumewapa madaraka haya watufanyie kazi lakini wanapoteza pesa.

Content creator anaihitaji mtaji wa nini? Kununua smart phone yenye camera nzuri au? Una-create content, unaweka Youtube au Tik Tok unalipwa, baada ya ya kujiunga na kutimiza masharti, sasa hizi pesa wnatupa tupa tu. Hazina mwenyewe, tumelala
 
Wakuu hili jambo sijalielewa hasa faida zake. BILIONI 2 ZA KUWAPA CONTENT CREATORS. Sababu za kuwapa ni nini? Faida zake je? Utaratibu wa kugawa hii bilioni 2 ukoje? Je ni content creators wenye sifa gani wanastahili kupewa?

Nimeuliza hivi maana mara nyingi pesa za serikali ambazo ni kodi zetu zimekuwa zikitolewa lakini matokeo chanya huwa madogo. Mnakumbuka mabilioni ya Kikwete, mradi wa BBT, kilimo kwanza na mikopo ya 10% ya halmashauri?

Binafsi ninaona kabla ya mabilioni serikali ingerekebisha kwanza baadhi ya sheria ili watengeneza maudhui wasipate bugudha zisizo za lazima kwenye kazi zao. Kwa mfano content creators wengi wanalalamika kuhusu sheria zinazowabana kutengeneza contents zao kwenye maeneo mengi. Hata Prof Jay na Mbosso walishawahi lalamika kupata wakati mgumu ku-shoot videos zao kwenye national parks na baadhi ya maeneo ya vivutio.

Pia mngewapa hata tax exemption wanapoagiza camera na vifaa vingine vya kazi zao.
Wangenunua madawati ingependeza
 
Back
Top Bottom