Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Moja ya jambo ambalo linafikirisha katika IGA ya Tanzania na Dubai ni sehemu ya watia sahihi!
Upande wa Serikali ya Dubai amesaini Mkurugenzi wa Bandari! Yani huu ni mkataba wa nchi na nchi anakuja kusaini Mkurugenz wa Bandari kwa niaba ya nchi yake? Mawaziri, na makatibu wakuu hamna huko serikalini Dubai mpaka aje kusain mkurugenzi?
Sehemu ya mashuhuda wa mkataba ndiyo kabisa! Upande wa Dubai kuna sain tu! Alieshuhudia jina wala cheo hamna! Sasa Document ile ukiipeleka mahakaman kwa lalamiko lolote si wanakukataa Dubai?
Tuseme tu Serikali ya Dubai haijasaini mkataba na Tanzania! Ila DP World ilisaini IGA.