Kapewa mamlaka hiyo na Emirates ya Dubai,Katiba yao inaruhusu.Ni kama vile Mbarawa alivopewa mamlaka na Rais,Katiba yetu imeruhusu.Moja ya jambo ambalo linafikirisha katika IGA ya Tanzania na Dubai ni sehemu ya watia sahihi!
Upande wa Serikali ya Dubai amesaini Mkurugenzi wa Bandari! Yani huu ni mkataba wa nchi na nchi anakuja kusaini Mkurugenz wa Bandari kwa niaba ya nchi yake? Mawaziri, na makatibu wakuu hamna huko serikalini Dubai mpaka aje kusain mkurugenzi?
Sehemu ya mashuhuda wa mkataba ndiyo kabisa! Upande wa Dubai kuna sain tu! Alieshuhudia jina wala cheo hamna! Sasa Document ile ukiipeleka mahakaman kwa lalamiko lolote si wanakukataa Dubai?
Tuseme tu Serikali ya Dubai haijasaini mkataba na Tanzania! Ila DP World ilisaini IGA.
View attachment 2687706
Halafu ipo siku mtu atakuja ku agree mahala pameandikwa "utabakwa mara tatu kwa siku asubuhi,mchana na usiku!".. umeshakubali huko ndo unaanza kusoma hapo unaanza kulia tu nakusema ulirogwa...🤣Mikataba mingine ilisainiwa hotelini London
Yaani mswahili akinusa hela tu hata uandike nini yeye anakuuliza tu Nisaini wapi?
Ni kama kwenye agreements tunazoziona kwenye simu yaani unashuka mpaka chini bila kusoma unatafuta sehemu imeandikwa
I AGREE
Unayo attachment ya barua Emirat? Imesainiwa na nani? Katika ngazi zote za uongozi ndo aje kusain mkurugenzi wa bandar kweli? Mawaziri wakupewa hayo mamlaka hamna? Makatibu wakuu hamna? Manaibu hamna? Yani hamna hamna hamna ndo mkurugenzi wa sehemu fulan alewe malaka ya kusain kwa niaba ya serikali!Kapewa mamlaka hiyo na Emirates ya Dubai,Katiba yao inaruhusu.Ni kama vile Mbarawa alivopewa mamlaka na Rais,Katiba yetu imeruhusu.
Nami naomba kufahamu jambo lingine la nyongeza:
Huyo 'agent' wa Dubai... "to act individually'' inamaanisha nini kisheria?
View attachment 2687712
Wanasheria naombeni ufahamu hapo.
Cc: Pascal Mayalla
-Kaveli-
Mkuu sioni shida,after all huyo Mkurugenzi ndiye atekayetekeza huo mkataba,to me he is the right person.Afterall kuna shida gani kama Katiba yao inaruhusu.Unayo attachment ya barua Emirat? Imesainiwa na nani? Katika ngazi zote za uongozi ndo aje kusain mkurugenzi wa bandar kweli? Mawaziri wakupewa hayo mamlaka hamna? Makatibu wakuu hamna? Manaibu hamna? Yani hamna hamna hamna ndo mkurugenzi wa sehemu fulan alewe malaka ya kusain kwa niaba ya serikali!
Wanamdanganya nan? Kwani TPA ingetangaza tender na DP akashinda wakamaliza wangepungukiwa nn? Mpaka wanapeleka bungen upitishwe kwa azimio kwa hakikisho hatuwezi taifisha vitu vyao what does it mean?Ni hivi Kiongozi hiyo kampuni ya DP World inajiendesha kama kampuni binafsi. Inayomilikiwa na Serikali.
Ni kama vile Suma JKT .
Ukaingia Mikataba na kampuni hizo sio kama umeingia mkataba na serikali na ndio maana kama kujifagilia migogoro iliyopo Kati na DP world na serikali mbalimbali utakutana zinazoshtakiana ni DP World kama DP world wala sio UAE na Serikali zilizotoa bandarini zao.
Kwa hili la kusema tumeingia mkataba na serikali ya Dubai ni kiini macho
Katiba hai inaruhusu mkugenzi wa bandar kuingia mkataba kwa niaba ya serikali? Naomba hicho kifunguMkuu sioni shida,after all huyo Mkurugenzi ndiye atekayetekeza huo mkataba,to me he is the right person.Afterall kuna shida gani kama Katiba yao inaruhusu.
I swear to GodHalafu ipo siku mtu atakuja ku agree mahala pameandikwa "utabakwa mara tatu kwa siku asubuhi,mchana na usiku!".. umeshakubali huko ndo unaanza kusoma hapo unaanza kulia tu nakusema ulirogwa...[emoji1787]
Maana yake mahakamani utampeleka yeye so DP wala Emirate wala DuniaNami naomba kufahamu jambo lingine la nyongeza:
Huyo 'agent' wa Dubai... "to act individually'' inamaanisha nini kisheria?
View attachment 2687712
Wanasheria naombeni ufahamu hapo.
Cc: Pascal Mayalla
-Kaveli-
Mkataba ni Fake na BATILI,Moja ya jambo ambalo linafikirisha katika IGA ya Tanzania na Dubai ni sehemu ya watia sahihi!
Upande wa Serikali ya Dubai amesaini Mkurugenzi wa Bandari! Yani huu ni mkataba wa nchi na nchi anakuja kusaini Mkurugenz wa Bandari kwa niaba ya nchi yake? Mawaziri, na makatibu wakuu hamna huko serikalini Dubai mpaka aje kusain mkurugenzi?
Sehemu ya mashuhuda wa mkataba ndiyo kabisa! Upande wa Dubai kuna sain tu! Alieshuhudia jina wala cheo hamna! Sasa Document ile ukiipeleka mahakaman kwa lalamiko lolote si wanakukataa Dubai?
Tuseme tu Serikali ya Dubai haijasaini mkataba na Tanzania! Ila DP World ilisaini IGA.
View attachment 2687706
Katiba yao umeisoma?Mimi sijaisoma,ila Mwanasheria wa Wizara ya Miundombinu Tanzania kasoma. hicho kifungu mbele ya waandishi was habari.Katiba hai inaruhusu mkugenzi wa bandar kuingia mkataba kwa niaba ya serikali? Naomba hicho kifungu
Unajua unachozungumzia lakini? Yani mwanasheria kasoma katiba ya UAE ambayo inampa mamlaka ya mkugenzi wa bandari kuingia mikata kwaniaba ya nchi? Sasa barua ya kuteuliwa kwake na mtu asiejulikan ilikuwa yann kama katiba imempa mamlaka hayo?Katiba yao umeisoma?Mimi sijaisoma,ila Mwanasheria wa Wizara ya Miundombinu Tanzania kasoma. hicho kifungu mbele ya waandishi was habari.
PITA HAPA UONE!Moja ya jambo ambalo linafikirisha katika IGA ya Tanzania na Dubai ni sehemu ya watia sahihi!
Upande wa Serikali ya Dubai amesaini Mkurugenzi wa Bandari! Yani huu ni mkataba wa nchi na nchi anakuja kusaini Mkurugenz wa Bandari kwa niaba ya nchi yake? Mawaziri, na makatibu wakuu hamna huko serikalini Dubai mpaka aje kusain mkurugenzi?
Sehemu ya mashuhuda wa mkataba ndiyo kabisa! Upande wa Dubai kuna sain tu! Alieshuhudia jina wala cheo hamna! Sasa Document ile ukiipeleka mahakaman kwa lalamiko lolote si wanakukataa Dubai?
Tuseme tu Serikali ya Dubai haijasaini mkataba na Tanzania! Ila DP World ilisaini IGA.
View attachment 2687706
Yani kwakweli Hapana! Huu uzembe hauvumilikiPITA HAPA UONE!
Angalieni huu ukurasa wa sahihi kwa karibu sana!
Mnaona hapo kwa upande wa shahidi kuna sahihi ya Mbarawa ilianza alafu haikuisha - akaweka mtu mwingine! Aisee Alafu mashahidi wote wawili hawana majina na huyo wa Dubai hata cheo hatujui ni nani!View attachment 2687788
Sent using Jamii Forums mobile app