Barua ya kumpa mamlaka ya ku-act on behalf ni lazima,ingawa katiba inaruhusu.Hii sio kwenye mkataba huu tu,na Dubai Emirates tu,hata nchi zingine inafanyika,so sio Emirates tu.Unajua unachozungumzia lakini? Yani mwanasheria kasoma katiba ya UAE ambayo inampa mamlaka ya mkugenzi wa bandari kuingia mikata kwaniaba ya nchi? Sasa barua ya kuteuliwa kwake na mtu asiejulikan ilikuwa yann kama katiba imempa mamlaka hayo?View attachment 2687783
Huyo mwanasheria alisema kifungu gan kina mpa mamlaka mkurugenzi kusaini mkataba na unaopaswa kusainiwa na Serikali kuu?Barua ya kumpa mamlaka ya ku-act on behalf ni lazima,ingawa katiba inaruhusu.Hii sio kwenye mkataba huu tu,na Dubai Emirates tu,hata nchi zingine inafanyika,so sio Emirates tu.
Mkuu niseme hivi,hoja hii haina mashimo,just drop it.
Hawa jamaa walitumia ujanja kama huu huko Namibia. Wenzetu nafsi zao zikawasuta wakaamua kuwatolea nje. Someni makala mitandaoni zinazohusu kampuni hiyo na mikakati yao ya kuendesha bandari ya Walvis Bay huko Namibia. Nina hakika kama due diligence ingefanyika huu mkataba/ makubaliano u/yasingefanyika.PITA HAPA UONE!
Angalieni huu ukurasa wa sahihi kwa karibu sana!
Mnaona hapo kwa upande wa shahidi kuna sahihi ya Mbarawa ilianza alafu haikuisha - akaweka mtu mwingine! Aisee Alafu mashahidi wote wawili hawana majina na huyo wa Dubai hata cheo hatujui ni nani!View attachment 2687788
Sent using Jamii Forums mobile app
Money talkHawa jamaa walitumia ujanja kama huu huko Namibia. Wenzetu nafsi zao zikawasuta wakaamua kuwatolea nje. Someni makala mitandaoni zinazohusu kampuni hiyo na mikakati yao ya kuendesha bandari ya Walvis Bay huko Namibia. Nina hakika kama due diligence ingefanyika huu mkataba/ makubaliano u/yasingefanyika.
Penye udhia, penyeza rupia.Money talk
[emoji23][emoji23]Vururu vururu . Hata tuao unga mkono tulisha changanyikiwa
Barua ya kumpa mamlaka ya ku-act on behalf ni lazima,ingawa katiba inaruhusu.Hii sio kwenye mkataba huu tu,na Dubai Emirates tu,hata nchi zingine inafanyika,so sio Emirates tu.
Mkuu niseme hivi,hoja hii haina mashimo,just drop it.
Pasco ni bush lawyerNami naomba kufahamu jambo lingine la nyongeza:
Huyo 'agent' wa Dubai... "to act individually'' inamaanisha nini kisheria?
View attachment 2687712
Wanasheria naombeni ufahamu hapo.
Cc: Pascal Mayalla
-Kaveli-
Lete ushahidiKapewa mamlaka hiyo na Emirates ya Dubai,Katiba yao inaruhusu.Ni kama vile Mbarawa alivopewa mamlaka na Rais,Katiba yetu imeruhusu.
Nakubali nilikuwa sijaelewa vizuri.Baada ya kuupata mkataba,nikausoma na kuelewa Sheria zinasemaje kuhusu bandari,now I admit I was wrong.Ila uniombe msamaha kwa kuniita kenge.Soma vizuri hiyo power of attorney yao unasemaje huyo jamaa wa DP world at act as an individual wakati ya Tanzania haielezi hivyo.
Tatizo huelewi hata maana ya IGA.
Hivi unaelewa hata migogoro mingi ya DP world na serikali mbali mbali ni kesi Kati ya hizo serikali na DP world na wala sio serikali ya Dubai unafikiria ni Kwa nini.
Wewe utakuwa ni kenge flani usiyejielewa
Nakubali nilikuwa sijaelewa vizuri.Baada ya kuupata mkataba,nikausoma na kuelewa Sheria zinasemaje kuhusu bandari,now I admit I was wrong.Lete ushahidi
Nakubali nilikuwa sijaelewa vizuri.Baada ya kuupata mkataba,nikausoma na kuelewa Sheria zinasemaje kuhusu bandari,now I admit I was wrong.Ila uniombe msamaha kwa kuniita kenge.