Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
"Tunatekeleza"Tunajua kuwa kimekuwa ni chombo cha Propaganda za Chama.
πππππHata huyo alietoa hili tangazo achukuliwe hatua!... Hakuna kitu kinaitwa "Mbashara"
Ufafanuzi huu unaonyesha kiwango cha uongozi wa TBC.Mzee mmoja jirani yangu aliwahi kusema, ni bora kunyamanzaa kimya kuliko kujibu kila kitu.
Ndio maana tunaomba wanaojua watuelewesheKama mtangazaji alimaanisha hivyo ni kwa nini mmechukulia hatua za kinidhamu?
Hahahahaha mwaka wenyewe kakoseqHata huyo alietoa hili tangazo achukuliwe hatua!... Hakuna kitu kinaitwa "Mbashara"