Aliyefanikisha usajili wa Samatta atupiwa virago nje

Aliyefanikisha usajili wa Samatta atupiwa virago nje

Samata nusu msimu, mpya katika hiyo ligi na corona na ana magoli mawili. Lingad ana magoli mangapi huu msimu wote?
Lingard kacheza dakika 20 ana goli 1 , samata kacheza mechi 16
 
Ana goli moja msimu mzima
Wabongo utawaweza kaka.
Kila MTU anajikuta kocha ,mchambuzi lakini ukiwabana wanaanza ooh acha utaifa sijui nini ndo maana hii ishu za sammata nishaacha kubishana sababu nimegundua chuki na mihemko mingi..
Huwaga natulia zangu jukwaa letu la Liverpool
 
Samata nusu msimu, mpya katika hiyo ligi na corona na ana magoli mawili. Lingad ana magoli mangapi huu msimu wote?
Lingard na Samatta wanacheza position mbili tofauti
 
Au siyo? Haya Sanchez msimu wa mwisho Man U alikua na magoli mangapi?
Mkuu umesahau kwamba swala la umri kuwa mkubwa linachangia sana kwenye soka
Samata ni mdogo kwa umri tofauti na Sanchez ni mkubwa kwa hiyo alikuwa kashachoka
 
Ana goli moja msimu mzima
Kweli aisee,
Hili nalo Ni garasa la msimu[emoji12][emoji116]
2020-07-31-15-49-43.jpg
 
Mkuu umesahau kwamba swala la umri kuwa mkubwa linachangia sana kwenye soka
Samata ni mdogo kwa umri tofauti na Sanchez ni mkubwa kwa hiyo alikuwa kashachoka
Naona unahamisha magoli tu
 
Back
Top Bottom