Aliyefanikiwa (HESLB LOAN) kipengele cha kujaza RITA VERIFICATION NUMBER (DEATH)

Right Marker

Senior Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
194
Reaction score
625
Wakuu kwema?
Ninamwombea mdogo wangu mkopo wa HESLB. Naomba kujua kama Kuna mtu ambaye amefanikiwa katika kipengele cha Preliminary Information kujaza RITA VERIFICATION NUMBER ya DEATH.

RITA VERIFICATION NUMBER (DEATH) tayari zimeshapatikana, lakini kwenye mfumo wa HESLB zinakataa/zinagoma na kuandika kuwa DETAILS NOT FOUND.

Je, kuna mwingine yeyote anayepitia changamoto hii?
 
Ukiona hivyo ujue huja verify Cheti cha kifo. Cha kufanya tumia namba iliopo kwenye Chet cha kifo then hakiki Rita, itakubali
 
Mfumo unasumbua but utakubali weendlea kujaribu kwangu ililkuwa unagoma ila ikakubali baadae ila ilichukua mda kama wiki ivi yakujaribu
 
Kiukweli hili ni changamoto kubwa sana mimi ni mwezi sasa inasema details not found ukiwapigia wanasema changamoto ipo loan board kwenye mfumo wao na loan board ukiwacheki wanasema rita ndio kuna changamoto kwenye mfumo naona kama mifumo haisomani vizuri na bodi ya mikopo
 
Achana na hizi mambo za mikopo zinawatesa sana waajiriwa​
What if asipopata mkopo hawez kusoma aachane na kusoma??? Wengine mazingira ya nyumban magum bora apate huo mkopo hata akiteseka kuurudisha 8la ashatimiza ndoto zake
 
Wanachelewa sana unakuta mwenye mshahara wa 700K anapigwa panga la:

HESLB 15%
PAYE 30%

Bado makorokoro mengine hapo anakatwa

Anaanza kazi na miaka 30+ mpaka anamaliza mkopo wa chuo ana miaka 40+

Hapo kabakisha miaka 20 astaafu na hapo unakuta huyo ni mwalimu
​
 
Ukiona hivyo ujue huja verify Cheti cha kifo. Cha kufanya tumia namba iliopo kwenye Chet cha kifo then hakiki Rita, itakubali
Ukitaka ku-verify cheti unaenda wapi?
Nataka ku-verify cheti cha ndoa, naenda website gani?
Nimeingia www.rita.go.tz kuna huduma mbili tu (Kuzaliwa na Kifo)
 
Back
Top Bottom