Right Marker
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 194
- 625
Ukiona hivyo ujue huja verify Cheti cha kifo. Cha kufanya tumia namba iliopo kwenye Chet cha kifo then hakiki Rita, itakubaliWakuu kwema?
Ninamwombea mdogo wangu mkopo wa HESLB. Naomba kujua kama Kuna mtu ambaye amefanikiwa katika kipengele cha Preliminary Information kujaza RITA VERIFICATION NUMBER ya DEATH.
RITA VERIFICATION NUMBER (DEATH) tayari zimeshapatikana, lakini kwenye mfumo wa HESLB zinakataa/zinagoma na kuandika kuwa DETAILS NOT FOUND.
Je, kuna mwingine yeyote anayepitia changamoto hii?
Umeelewa swali na maelezo yake???Ukiona hivyo ujue huja verify Cheti cha kifo. Cha kufanya tumia namba iliopo kwenye Chet cha kifo then hakiki Rita, itakubali
What if asipopata mkopo hawez kusoma aachane na kusoma??? Wengine mazingira ya nyumban magum bora apate huo mkopo hata akiteseka kuurudisha 8la ashatimiza ndoto zakeAchana na hizi mambo za mikopo zinawatesa sana waajiriwa
What if asipopata mkopo hawez kusoma aachane na kusoma??? Wengine mazingira ya nyumban magum bora apate huo mkopo hata akiteseka kuurudisha 8la ashatimiza ndoto zake
Ukitaka ku-verify cheti unaenda wapi?Ukiona hivyo ujue huja verify Cheti cha kifo. Cha kufanya tumia namba iliopo kwenye Chet cha kifo then hakiki Rita, itakubali
Ukitaka ku-verify cheti unaenda wapi?Kiukweli hili ni changamoto kubwa sana mimi ni mwezi sasa inasema details not found ukiwapigia wanasema changamoto ipo loan board kwenye mfumo wao na loan board ukiwacheki wanasema rita ndio kuna changamoto kwenye mfumo naona kama mifumo haisomani vizuri na bodi ya mikopo