Simba lunyasi
JF-Expert Member
- Sep 28, 2022
- 385
- 840
Wakuu Mimi ni mwana Simba kindaki ndaki nimepata masononeko sana[emoji24][emoji24] Baada kuutafuta msimamo wa ligi kuu ya Nbc wakati Simba akiwa kileleni[emoji772] mwa msimamo ligi ya Nbc bila mafanikio.
Kwenye kutafuta kwangu nimebahtika kupata msimamo wa mwaka 2020,
Sasa tupo 2023, hivi Simba bado hawajaweza hata kuongozwa hii ligi kweli kwa masaa au siku kadhaa? Kwa aliyefanikiwa kupiga picha wakati Simba akiongoza ligi hebu atupie..
Mimi kapicha langu ni ka mwaka 2020 haka hapo chini[emoji116]na Yanga walikuwa hawajacheza mechi yoyote
Yaani sisi Wanasimba tunaumia sana kwa kweli. Ewe Mungu tusaidie haya mateso yatuepuke[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]