Aliyefanikiwa kupiga Picha Simba akiongoza ligi hebu atuwekee Maana tunateseka Sana

Aliyefanikiwa kupiga Picha Simba akiongoza ligi hebu atuwekee Maana tunateseka Sana

Simba lunyasi

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2022
Posts
385
Reaction score
840
Wakuu Mimi ni mwana Simba kindaki ndaki nimepata masononeko sana[emoji24][emoji24] Baada kuutafuta msimamo wa ligi kuu ya Nbc wakati Simba akiwa kileleni[emoji772] mwa msimamo ligi ya Nbc bila mafanikio.

Kwenye kutafuta kwangu nimebahtika kupata msimamo wa mwaka 2020,
Sasa tupo 2023, hivi Simba bado hawajaweza hata kuongozwa hii ligi kweli kwa masaa au siku kadhaa? Kwa aliyefanikiwa kupiga picha wakati Simba akiongoza ligi hebu atupie..

Mimi kapicha langu ni ka mwaka 2020 haka hapo chini[emoji116]na Yanga walikuwa hawajacheza mechi yoyote

Yaani sisi Wanasimba tunaumia sana kwa kweli. Ewe Mungu tusaidie haya mateso yatuepuke[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
EiCru9mXkAMGEcw.jpg
 
Huu uzi wanaupita kama vile wamemuona baba mkwe, wanachungulia wanakula kona kama vile ni vipofu, utawakuta kwenye uzi wenye kombe lao la Fei toto na Sportpesa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani TUNAPITIA maumivu[emoji24][emoji24][emoji24] kama aliyopitia sadam Hussein kabla hajanyongwa
 
Aibu ya nchi inakuja kwa mpira huu wanaocheza yanga mashabiki wanaweza wakawa na furaha ila kocha sijui kama anapata usingizi toka aondoke feisal kuna kitu hakiko sawa kabisa sema mashabiki na viongozi wanajikaza mechi zote alizokosekana team inapata matokea kwa tabu kama sio kujifunga au makosa ya makusudi team haipati ushindi sio lazima mnielewe ila Caf coach cup ina majibu ya maswali yote aibu inakuja.
 
Mkuu upo nje ya mada kabisa.. picha inahitajika, hayo mambo ya uchezaji wa Yanga watajijua wenyewe. AFADHALI timu yetu ya Simba tukiiona ikiongoza tunaridhika haka kama ni zamani
 
Mkuu upo nje ya mada kabisa.. picha inahitajika, hayo mambo ya uchezaji wa Yanga watajijua wenyewe. AFADHALI timu yetu ya Simba tukiiona ikiongoza tunaridhika haka kama ni zamani
League kwani imeisha
 
Simba hawez kuhangaika na ka ligi ka mchongo kama hako tuko bize na CAF Super League
 
Bila viporo ubingwa mtausikia maana ie misimu minne mda kama huu mnaviporo vitano.
 
kwaio wanathimbaa mmekosa ka picha kokote tu hata ka kuzugia [emoji848][emoji848]? Mi ngoja niwape haka hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] almanusura mteremke daraja
Screenshot_20230204-214610.jpg
 
Simba inawaza mashindano ya CAF.

CHAMPIONS LEAGUE.
SUPER LEAGUE. BILIONI 4.za maandalizi.

Kati ya Bilioni 4. Na Milioni 500 unachagua kipi????

Akili ku mkichwa.
 
Back
Top Bottom