Aliyefanikiwa kupiga Picha Simba akiongoza ligi hebu atuwekee Maana tunateseka Sana

Unaelewa nini ukisikia mpira ni mchezo wa makosa? Kwa nini hayo magoli asijifunge Yanga?
 
Kuongoza Ligi na tupoint 6 ndo imekua mada...nani kakwambia Simba inateseka?? Ww waambie ukweli watu ww ni Uto pro max..
 
Mkuu Kalpana Mimi ni mnyama damudamu sema tu ndio hivyo nawajambisha wanasimba wenzangu
 
Wee Ni utopolo mwenzetu upo kuwazinguwa makolo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Feisal alikuwepo misimu 3 nyuma huko kimataifa alitusaidia vipi?

Huu wimbo wa kimataifa itakua hivi kimataifa itakua vile ni kujifariji tu, mtu anayejua mpira huwa haongei kauli kama zako.
 
Mkiwa mabingwa zaidi ya mara 20 lakini bado utopolo ikawa omba omba kama vile timu iliyopanda daraja.
 
Wewe pekee ndio unaumia kwa kukosa akili.
Wewe ni dizaini ya ashura cheupe ambaye unapaswa tu kusifia jinsi makipa wa timu pinzani wanavyowapa assist.
Huna lolote ligi bado mbichi.Unless soka umeanza kufuatilia baada ya kuolewa

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Huu uzi wanaupita kama vile wamemuona baba mkwe, wanachungulia wanakula kona kama vile ni vipofu, utawakuta kwenye uzi wenye kombe lao la Fei toto na Sportpesa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tupo hapa tunawakumbusheni kuwa ubora wa team unapimwa kwa level za mashindano makubwa kama CL
 
Utopolo yupo kwenye kilele Cha ubora wake yupo makundi shirikisho while Simba alikua anaitafuta Nusu final kwa pira peresu peresu alilompigia Kaizer chiefs.

Mkubwa ni mkubwa tu🦁🦁🦁🦁
 
Mtazamo wako unaheshimiwa. But utabaki kuwa ni ntazamo

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…