lyenyi
JF-Expert Member
- Mar 4, 2020
- 2,651
- 7,299
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaelewa nini ukisikia mpira ni mchezo wa makosa? Kwa nini hayo magoli asijifunge Yanga?Aibu ya nchi inakuja kwa mpira huu wanaocheza yanga mashabiki wanaweza wakawa na furaha ila kocha sijui kama anapata usingizi toka aondoke feisal kuna kitu hakiko sawa kabisa sema mashabiki na viongozi wanajikaza mechi zote alizokosekana team inapata matokea kwa tabu kama sio kujifunga au makosa ya makusudi team haipati ushindi sio lazima mnielewe ila Caf coach cup ina majibu ya maswali yote aibu inakuja.
Wee Ni utopolo mwenzetu upo kuwazinguwa makoloWakuu Mimi ni mwana Simba kindaki ndaki nimepata masononeko sana[emoji24][emoji24] Baada kuutafuta msimamo wa ligi kuu ya Nbc wakati Simba akiwa kileleni[emoji772] mwa msimamo ligi ya Nbc bila mafanikio.
Kwenye kutafuta kwangu nimebahtika kupata msimamo wa mwaka 2020,
Sasa tupo 2023, hivi Simba bado hawajaweza hata kuongozwa hii ligi kweli kwa masaa au siku kadhaa? Kwa aliyefanikiwa kupiga picha wakati Simba akiongoza ligi hebu atupie..
Mimi kapicha langu ni ka mwaka 2020 haka hapo chini[emoji116]na Yanga walikuwa hawajacheza mechi yoyote
Yaani sisi Wanasimba tunaumia sana kwa kweli. Ewe Mungu tusaidie haya mateso yatuepuke[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2506373
Mimi ni Simba damudamuWee Ni utopolo mwenzetu upo kuwazinguwa makolo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Bora tujifariji kwahili mkuu
Feisal alikuwepo misimu 3 nyuma huko kimataifa alitusaidia vipi?Aibu ya nchi inakuja kwa mpira huu wanaocheza yanga mashabiki wanaweza wakawa na furaha ila kocha sijui kama anapata usingizi toka aondoke feisal kuna kitu hakiko sawa kabisa sema mashabiki na viongozi wanajikaza mechi zote alizokosekana team inapata matokea kwa tabu kama sio kujifunga au makosa ya makusudi team haipati ushindi sio lazima mnielewe ila Caf coach cup ina majibu ya maswali yote aibu inakuja.
Wewe pekee ndio unaumia kwa kukosa akili.Wakuu Mimi ni mwana Simba kindaki ndaki nimepata masononeko sana[emoji24][emoji24] Baada kuutafuta msimamo wa ligi kuu ya Nbc wakati Simba akiwa kileleni[emoji772] mwa msimamo ligi ya Nbc bila mafanikio.
Kwenye kutafuta kwangu nimebahtika kupata msimamo wa mwaka 2020,
Sasa tupo 2023, hivi Simba bado hawajaweza hata kuongozwa hii ligi kweli kwa masaa au siku kadhaa? Kwa aliyefanikiwa kupiga picha wakati Simba akiongoza ligi hebu atupie..
Mimi kapicha langu ni ka mwaka 2020 haka hapo chini[emoji116]na Yanga walikuwa hawajacheza mechi yoyote
Yaani sisi Wanasimba tunaumia sana kwa kweli. Ewe Mungu tusaidie haya mateso yatuepuke[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2506373
Watapita kama wanaaga maiti
Ubavu wa Simba ni kucheza CL na vilabu vingine 15 bora barani Africa.Kwaio sisi Simba ubavu wetu ni kuwafunga Hawa kina Ruvu shooting na prison tu na sio kuchukua ligi ya nbc
Tupo hapa tunawakumbusheni kuwa ubora wa team unapimwa kwa level za mashindano makubwa kama CLHuu uzi wanaupita kama vile wamemuona baba mkwe, wanachungulia wanakula kona kama vile ni vipofu, utawakuta kwenye uzi wenye kombe lao la Fei toto na Sportpesa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtazamo wako unaheshimiwa. But utabaki kuwa ni ntazamoAibu ya nchi inakuja kwa mpira huu wanaocheza yanga mashabiki wanaweza wakawa na furaha ila kocha sijui kama anapata usingizi toka aondoke feisal kuna kitu hakiko sawa kabisa sema mashabiki na viongozi wanajikaza mechi zote alizokosekana team inapata matokea kwa tabu kama sio kujifunga au makosa ya makusudi team haipati ushindi sio lazima mnielewe ila Caf coach cup ina majibu ya maswali yote aibu inakuja.