Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Watakuja tunawangoja tupo tumekaa paleee π kileleniKabisa yaani Mkuu. ππ
Usichukulie siriaz sana haya mambo ya mpira[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi unanikera jamani uwiii..nisamehe tuu mkuu
Hata mimi nimeona πComment ya kukera hii Mkuu. π€£π€£
Hahahaaa. Asijisahaulishe si tunataka msimamo wakiwa wanaongoza ligi. πHata mimi nimeona π
Maana nimekutana na dislike 1 iliyoshiba kutoka kwa kijana wa Mo, OKW BOBAN SUNZU!
ππππ€£π€£
Hongera. Umeutafuta saaaaana huo msimamo. Hongera na pole kwa kazi ngumuHuu hapa jaman msimamo nimeupata. Simba alikua on top of table. Na watu tulishangilia kweli. View attachment 2507446
Unateseka ukiwa wapi nyoka nyoka fc?Labda mpo busy na CUF ya lipumba
CAF Super League ni ligi ya wakubwa nitajie timu nyingne kutoka huu ukanda wa EAC ukiachana na Simba na Tp Mazembe nakutumia 10k ya vocha chapuHahahahaha. Sasahivi mmehamia super league [emoji848]?? Mmeachana na kuchukua cafcl? Simba mna hekaheka nyingi sana kama pimbi vile[emoji1][emoji1]
Hebu zitaje wewe izo timu zinazoshiriki Super League halafu uweke na source ya iyo taarifa yako, isije kuwa mnajidanganya huko vijiwe vya kahawa na mbu3 wenzako halafu wewe unaleta humu tujadili uwongo wenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]CAF Super League ni ligi ya wakubwa nitajie timu nyingne kutoka huu ukanda wa EAC ukiachana na Simba na Tp Mazembe nakutumia 10k ya vocha chapu
Umeulizwa swali na wewe unauliza swaliHebu zitaje wewe izo timu zinazoshiriki Super League halafu uweke na source ya iyo taarifa yako, isije kuwa mnajidanganya huko vijiwe vya kahawa na mbu3 wenzako halafu wewe unaleta humu tujadili uwongo wenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
π€£π€£π€£ Iti kenti bi hiyo Mtani niamini nakwambia.ππππ€£π€£
Haya mtani. Lakin tambua sisi ndio mabingwa wa NBC 2023. hutokaa uamini.
Sijui timu yoyote inayoshiriki iyo kafu supa ligi. Wewe niambie ni timu zipi zinazoshiriki? Hizi habari za kwenye vijiwe vya kahawa humu sio mahala pakeUmeulizwa swali na wewe unauliza swali
Akili za nyoka nyoka fc zimejaa mikimbio
Nateseka nikiwa msimbazi hapa kwenye makabati nikitafuta msimamo wa ligi ambao unaonyesha makolo wakiongoza ligiUnateseka ukiwa wapi nyoka nyoka fc?
Msimamo wa ligi haukai kwenye makabati ya msimbazi kalaghabaho weweNateseka nikiwa msimbazi hapa kwenye makabati nikitafuta msimamo wa ligi ambao unaonyesha makolo wakiongoza ligi
Kaa kwa kutulia hapa sio kilabu cha machozi ya simba kalaghabaho weweSijui timu yoyote inayoshiriki iyo kafu supa ligi. Wewe niambie ni timu zipi zinazoshiriki? Hizi habari za kwenye vijiwe vya kahawa humu sio mahala pake
Niko mzima kabisa mtani.π€£π€£π€£ Iti kenti bi hiyo Mtani niamini nakwambia.
I hope uko mzima pia Mtani?