Aliyefanikiwa kupiga Picha Simba akiongoza ligi hebu atuwekee Maana tunateseka Sana

Huu hapa jaman msimamo nimeupata. Simba alikua on top of table. Na watu tulishangilia kweli.
IMG_20230205_182319.jpg
 
Hahahahaha. Sasahivi mmehamia super league [emoji848]?? Mmeachana na kuchukua cafcl? Simba mna hekaheka nyingi sana kama pimbi vile[emoji1][emoji1]
CAF Super League ni ligi ya wakubwa nitajie timu nyingne kutoka huu ukanda wa EAC ukiachana na Simba na Tp Mazembe nakutumia 10k ya vocha chapu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
CAF Super League ni ligi ya wakubwa nitajie timu nyingne kutoka huu ukanda wa EAC ukiachana na Simba na Tp Mazembe nakutumia 10k ya vocha chapu
Hebu zitaje wewe izo timu zinazoshiriki Super League halafu uweke na source ya iyo taarifa yako, isije kuwa mnajidanganya huko vijiwe vya kahawa na mbu3 wenzako halafu wewe unaleta humu tujadili uwongo wenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeulizwa swali na wewe unauliza swali
Akili za nyoka nyoka fc zimejaa mikimbio
 
😀😀😁🤣🤣
Haya mtani. Lakin tambua sisi ndio mabingwa wa NBC 2023. hutokaa uamini.
🤣🤣🤣 Iti kenti bi hiyo Mtani niamini nakwambia.

I hope uko mzima pia Mtani?
 
Umeulizwa swali na wewe unauliza swali
Akili za nyoka nyoka fc zimejaa mikimbio
Sijui timu yoyote inayoshiriki iyo kafu supa ligi. Wewe niambie ni timu zipi zinazoshiriki? Hizi habari za kwenye vijiwe vya kahawa humu sio mahala pake
 
Nateseka nikiwa msimbazi hapa kwenye makabati nikitafuta msimamo wa ligi ambao unaonyesha makolo wakiongoza ligi
Msimamo wa ligi haukai kwenye makabati ya msimbazi kalaghabaho wewe
 
Sijui timu yoyote inayoshiriki iyo kafu supa ligi. Wewe niambie ni timu zipi zinazoshiriki? Hizi habari za kwenye vijiwe vya kahawa humu sio mahala pake
Kaa kwa kutulia hapa sio kilabu cha machozi ya simba kalaghabaho wewe
 
Back
Top Bottom