Aliyefanikiwa kupiga Picha Simba akiongoza ligi hebu atuwekee Maana tunateseka Sana

Aliyefanikiwa kupiga Picha Simba akiongoza ligi hebu atuwekee Maana tunateseka Sana

Chombo hiyo hapo mkuu, sema kingine
Screenshot_20230207-141055.jpg
 
Furaha ya simba kwa sasa imehamia kwa Baleke kufunga hat trick kwenye mchezo dhidi ya Mtibwa waliokuwa kwenye kipindi cha majonzi, baada ya kufiwa na beki wao wa kati Iddi Mobi Mfaume.

Na siyo kwenye kuchukua ubingwa. Maana wanatambua fika, hawana tena chao msimu huu.
 
Back
Top Bottom