Aliyefanya ABORTION hapa UDOM alaaniweeee,mpk kufa.

chakuhuzunisha n blok ambalo anakaa SISTER wa ROMAN CATHOLIC jn kashinda akilia 2.[/QUOTE]

Hapo miye sijaona uhusiano wa aliyefanya abortion na huyo sister, kwa nini unamuhurumia sister? Ameshinda analia....!!! Kwani yeye inamuhusu?????
 
Nimegundua watu fata upepo kinyama humu!! Yani mtu anaangalia wengi wanasemaje?then ndo anacomment according to views za mtu.

And kiukweli mleta mada anapoint ila hajajieleza vizuri ila sio kiasi cha kumdharau ama kumshusha!

Watu mnajishongondoa wakati mapopompo tuu na nyie kichwani!

Wengine kujieleza kama wamesoma literature hawawezi ila sio kwamba hawajui wanachoongea! Saingine muwe waelewa.. Stop hating!jus try kuwa mwelewa hata ndoa zenu zitadumu!

Vidharau vya kilocal jifanyie mwenyewe kabla hujafanya kitu it will make u a better person than him!!

Mnadharau chuo wakati ndugu zenu wengine wanalilia nafasi za education waje kuwafundisha wanenu!

****JIWE GIZANI..UKISIKA YALAAAAAAHHHH..... (......)

okay BYE!
Ujumbe umefika kimyakimya
 
Ujumbe umefika kimyakimya
kaka kuna kichaa mmoja anafurukuta..jiwe limempata mbavuni... na daktari wa vichaa yupo off..sa sijuw tutamtibuje ..kidonda ama akili:A S-confused1::A S-confused1:
 
inatia huzun km kukiuwa kitt ambacho hakina hatia,hlf hili blok L linamatatizo cjui !! najua watamkamata 2 coz blok zima walikuwa chin ya ulinz na wt wamepimwa jn na chakuhuzunisha n blok ambalo anakaa SISTER wa ROMAN CATHOLIC jn kashinda akilia 2.

Baada ya kupimwa nimesikia mtoto ni wa SISTER WA KIKATOLIKI!!!!
 
tusiribu kuchukua udhaifu wa mtu mmoja na tukahusianisha na chuo udom ina wanafunzi wa kila aina so kama hakuandika vizuri angerekebishwa kiroho safi na taarifa ikafika kama yeye alivokuwa amedhamiria sio insue kudharauliana kutukanana na kushushana kila mtu anaubora wake whether yuko chini au juu yako
 
shosti jiheshimu...acha papara...relaaax...chilllout babe uelewe nilichoandika!

sina nilichotetea ila ni ukweli wa post na reaction za mapopompo miku...* kama wewe! jinsi ya kumwambia mtu kiufinyu kama ufupi wa akili zako nakubaliana nawewe kuwa hatuwezi fika..
ila kama wewe unaniona mie sina akili timamu bathi thawa we dhako dhidhotimia kama ndo dhimeishia kuelewa mpaka apo... bathi wahitaji doctor bibie...!:A S-confused1:
ukute unajishongondoa apa while you are in the same group discussion:smile-big: and he is ur group leader!!

usipende kukurupuka kujibu uonekane umo..elewa point..soma ikibidi andika summary ndo ujibu.
as*****le
:frusty::frusty::frusty:
byeeee

Humo nilimobold ndo panapohusika kwa mara nyingine, akili timamu unazo ndo maana hutembei uchi mitaani, nnachoongelea hapa ni ufahamu na uwezo wa kueleza mambo mbele ya wenye uelewa. ama kweli hamnazo ni hamnazo tuu. hata kuandika kiswahili vizuri huwezi, sasa najiuliza hata kusoma kwenyewe unajua vizuri????

Ndo mnavyofundishwa hivyo sikuhizi? au ndo kwenye hizo group discussions zenu?

Nakutakia kila la kheri
 
inatia huzun km kukiuwa kitt ambacho hakina hatia,hlf hili blok L linamatatizo cjui !! najua watamkamata 2 coz blok zima walikuwa chin ya ulinz na wt wamepimwa jn na chakuhuzunisha n blok ambalo anakaa SISTER wa ROMAN CATHOLIC jn kashinda akilia 2.

kweli udom majanga... sasa wewe mwandishi ndio vice president au!?
 
Nimegundua watu fata upepo kinyama humu!! Yani mtu anaangalia wengi wanasemaje?then ndo anacomment according to views za mtu.

And kiukweli mleta mada anapoint ila hajajieleza vizuri ila sio kiasi cha kumdharau ama kumshusha!

Watu mnajishongondoa wakati mapopompo tuu na nyie kichwani!

Wengine kujieleza kama wamesoma literature hawawezi ila sio kwamba hawajui wanachoongea! Saingine muwe waelewa.. Stop hating!jus try kuwa mwelewa hata ndoa zenu zitadumu!

Vidharau vya kilocal jifanyie mwenyewe kabla hujafanya kitu it will make u a better person than him!!

Mnadharau chuo wakati ndugu zenu wengine wanalilia nafasi za education waje kuwafundisha wanenu!

****JIWE GIZANI..UKISIKA YALAAAAAAHHHH..... (......)

okay BYE!

hebu tuondolee upuuuzi yani wewe unasapoti mwanafunzi wa chuo kikuuu kuandika kama mtoto wa chekechea.
 
Hebu jaribu kudelete hilo file lenye hiyo
Story kichwani mwako, afu jaribu kusoma
huo utumbo ulioandika kama utaelewa kitu.
Afu huoni aibu kujiita mwana chuo! Vice UDOM my *ss!
 
inatia huzun km kukiuwa kitt ambacho hakina hatia,hlf hili blok L linamatatizo cjui !! najua watamkamata 2 coz blok zima walikuwa chin ya ulinz na wt wamepimwa jn na chakuhuzunisha n blok ambalo anakaa SISTER wa ROMAN CATHOLIC jn kashinda akilia 2.
mkuu ulikuwa na point nzuri tu ya kusema!

ulipoharibu tu ni utumiaji wako wa rejesta!
 
Humo nilimobold ndo panapohusika kwa mara nyingine, akili timamu unazo ndo maana hutembei uchi mitaani, nnachoongelea hapa ni ufahamu na uwezo wa kueleza mambo mbele ya wenye uelewa. ama kweli hamnazo ni hamnazo tuu. hata kuandika kiswahili vizuri huwezi, sasa najiuliza hata kusoma kwenyewe unajua vizuri????

Ndo mnavyofundishwa hivyo sikuhizi? au ndo kwenye hizo group discussions zenu?
Nakutakia kila la kheri

shoga nikuitie daktari...naona unazidi kupoteza network!
aisee kuendelea kubishana nawwe its totalllyyy wasting of my precious time... too low for me! byebye
 
hebu tuondolee upuuuzi yani wewe unasapoti mwanafunzi wa chuo kikuuu kuandika kama mtoto wa chekechea.
...naona umekata kamba nawewe....limekupata la wapi? we nahisi la makalio bibie...em rudi darasani! hivi kitu gani hapo kigumu kuelewa ...unakurupuka tu kama ulikuwa umegandana....mfyuuuuu...
hamsomi mkaelewa mnafata upepo..popompo
 
Unaandika kama bloger mmoja hivi!!!ingekua kamari ningeweka mzigo kwamba ni yeye
 
wewe acha umbea bwana hakika tutakuchukulia hatua za kisheria kijana ,nakanusha hakuna kitu kama hicho jamani
 
ukiachilia kununulia subwoofer kwa akina kaka, kwa akinadada boom lina kazi nyingi sana. mojawapo ya kazi ya boom ni kutolea mimba.
 
Back
Top Bottom