Angelicious
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 869
- 498
Ujumbe umefika kimyakimyaNimegundua watu fata upepo kinyama humu!! Yani mtu anaangalia wengi wanasemaje?then ndo anacomment according to views za mtu.
And kiukweli mleta mada anapoint ila hajajieleza vizuri ila sio kiasi cha kumdharau ama kumshusha!
Watu mnajishongondoa wakati mapopompo tuu na nyie kichwani!
Wengine kujieleza kama wamesoma literature hawawezi ila sio kwamba hawajui wanachoongea! Saingine muwe waelewa.. Stop hating!jus try kuwa mwelewa hata ndoa zenu zitadumu!
Vidharau vya kilocal jifanyie mwenyewe kabla hujafanya kitu it will make u a better person than him!!
Mnadharau chuo wakati ndugu zenu wengine wanalilia nafasi za education waje kuwafundisha wanenu!
****JIWE GIZANI..UKISIKA YALAAAAAAHHHH..... (......)
okay BYE!
unaonekana ni kijana wa kizazi cha mulugo
kaka kuna kichaa mmoja anafurukuta..jiwe limempata mbavuni... na daktari wa vichaa yupo off..sa sijuw tutamtibuje ..kidonda ama akili:A S-confused1::A S-confused1:Ujumbe umefika kimyakimya
inatia huzun km kukiuwa kitt ambacho hakina hatia,hlf hili blok L linamatatizo cjui !! najua watamkamata 2 coz blok zima walikuwa chin ya ulinz na wt wamepimwa jn na chakuhuzunisha n blok ambalo anakaa SISTER wa ROMAN CATHOLIC jn kashinda akilia 2.
Baada ya kupimwa nimesikia mtoto ni wa SISTER WA KIKATOLIKI!!!!
shosti jiheshimu...acha papara...relaaax...chilllout babe uelewe nilichoandika!
sina nilichotetea ila ni ukweli wa post na reaction za mapopompo miku...* kama wewe! jinsi ya kumwambia mtu kiufinyu kama ufupi wa akili zako nakubaliana nawewe kuwa hatuwezi fika..
ila kama wewe unaniona mie sina akili timamu bathi thawa we dhako dhidhotimia kama ndo dhimeishia kuelewa mpaka apo... bathi wahitaji doctor bibie...!:A S-confused1:
ukute unajishongondoa apa while you are in the same group discussion:smile-big: and he is ur group leader!!
usipende kukurupuka kujibu uonekane umo..elewa point..soma ikibidi andika summary ndo ujibu.
as*****le
:frusty::frusty::frusty:
byeeee
inatia huzun km kukiuwa kitt ambacho hakina hatia,hlf hili blok L linamatatizo cjui !! najua watamkamata 2 coz blok zima walikuwa chin ya ulinz na wt wamepimwa jn na chakuhuzunisha n blok ambalo anakaa SISTER wa ROMAN CATHOLIC jn kashinda akilia 2.
Nimegundua watu fata upepo kinyama humu!! Yani mtu anaangalia wengi wanasemaje?then ndo anacomment according to views za mtu.
And kiukweli mleta mada anapoint ila hajajieleza vizuri ila sio kiasi cha kumdharau ama kumshusha!
Watu mnajishongondoa wakati mapopompo tuu na nyie kichwani!
Wengine kujieleza kama wamesoma literature hawawezi ila sio kwamba hawajui wanachoongea! Saingine muwe waelewa.. Stop hating!jus try kuwa mwelewa hata ndoa zenu zitadumu!
Vidharau vya kilocal jifanyie mwenyewe kabla hujafanya kitu it will make u a better person than him!!
Mnadharau chuo wakati ndugu zenu wengine wanalilia nafasi za education waje kuwafundisha wanenu!
****JIWE GIZANI..UKISIKA YALAAAAAAHHHH..... (......)
okay BYE!
mkuu ulikuwa na point nzuri tu ya kusema!inatia huzun km kukiuwa kitt ambacho hakina hatia,hlf hili blok L linamatatizo cjui !! najua watamkamata 2 coz blok zima walikuwa chin ya ulinz na wt wamepimwa jn na chakuhuzunisha n blok ambalo anakaa SISTER wa ROMAN CATHOLIC jn kashinda akilia 2.
Humo nilimobold ndo panapohusika kwa mara nyingine, akili timamu unazo ndo maana hutembei uchi mitaani, nnachoongelea hapa ni ufahamu na uwezo wa kueleza mambo mbele ya wenye uelewa. ama kweli hamnazo ni hamnazo tuu. hata kuandika kiswahili vizuri huwezi, sasa najiuliza hata kusoma kwenyewe unajua vizuri????
Ndo mnavyofundishwa hivyo sikuhizi? au ndo kwenye hizo group discussions zenu?
Nakutakia kila la kheri
...naona umekata kamba nawewe....limekupata la wapi? we nahisi la makalio bibie...em rudi darasani! hivi kitu gani hapo kigumu kuelewa ...unakurupuka tu kama ulikuwa umegandana....mfyuuuuu...hebu tuondolee upuuuzi yani wewe unasapoti mwanafunzi wa chuo kikuuu kuandika kama mtoto wa chekechea.
...naona umekata kamba nawewe....limekupata la wapi? we nahisi la makalio bibie...em rudi darasani! hivi kitu gani hapo kigumu kuelewa ...unakurupuka tu kama ulikuwa umegandana....mfyuuuuu...
hamsomi mkaelewa mnafata upepo..popompo
Andika kama msomi, msiwashawishi watu waamini kuwa chuo chenu ni cha kata