Aliyefanya madhambi haya kasalia hatua moja awe mchawi

Aliyefanya madhambi haya kasalia hatua moja awe mchawi

SirAlfred006

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2020
Posts
517
Reaction score
1,243
Aliyefanya madhambi haya kasalia hatua moja awe mchawi.
20220711_174818.jpg
 
Trust me kuna sababu ya kufanya hivi...sitaki kuamini eti afanye tu bila sababu.
 
Dah inatia hasira jamani acheni hapo mm ningeenda tanga mapangoni
 
Halafu unasikia ety hatutakiwi kulipa kisasi.! Mamaaamae aisee mimi nakula sahani moja nawe hakuna kumuachia mungu aisee.
 
Unakuta kibarua kakulimia mpaka mazao yamefika hatua hiyo hata mia hujampa, ulitaka acheke cheke akifika shambani kwako....
Wakulima wengi wanaingia nao mikataba, baada ya miezi 3 mazao yamekomaa yanasubiri kuvunwa, unamuanzishia visa, unamfukuza bila kumlipa.
 
Jamaa yangu alikuwa na eka5 za vitunguu wamesubiri vimrkomaa jamas wiki hiyo ilikuwa avune wakenya wakaja na fuso usiku wakabuna hawskudondosha hata kimoja angeungia hata mboga. Asubuhianakuja kutembelea shamba jeupeeeeeee
 
Jamaa yangu alikuwa na eka5 za vitunguu wamesubiri vimrkomaa jamas wiki hiyo ilikuwa avune wakenya wakaja na fuso usiku wakabuna hawskudondosha hata kimoja angeungia hata mboga. Asubuhianakuja kutembelea shamba jeupeeeeeee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]itakua alifreez KWA mda wa week nzima duuu
 
nikiwa bado chalii tu 1997 nakua niliparamia lile ua la mwisho ktk mkungu wa ndizi ambalo ndio kufumuka na kutoa vichana vya ndizi😁😁😁
kisa kufyonza utomvu mtam tam mule ndani,likakatika. hivyo safari ya mgomba ule ikawa imeishia hapo.

baada ya kukutana na mwenye mgomba wake,maneno aliyoaniambia kuanzia wakati ule niliyapa thamani kubwa sana mazao ya mtu shambani.
aliuliza swali moja tu"hivi weww mtoto unajua kuhusu kula kweli wewe??"

baadae nikaja kugundua pia kumbe moja ya makosa makubwa ambayo yanaweza kukufunga maisha ni pamoja na kuharibu mazao shambani,au ghalani.

huyo jamaa ni muuaji kabisa.
 
Back
Top Bottom