SirAlfred006
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 517
- 1,243
Aliyefanya madhambi haya kasalia hatua moja awe mchawi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakama hakupaswa kufanya ivyoTrust me kuna sababu ya kufanya hivi...sitaki kuamini eti afanye tu bila sababu.
Dah...!Dawa ya haya yote ni katiba mpya.
Aliyefanya madhambi haya kasalia hatua moja awe mchawi. View attachment 2287481View attachment 2287482
Mashamba ya kabichi kama haya niliyaona lushoto Tanga. Ila aliyekatakata ni muuaji.Dah inatia hasira jamani acheni hapo mm ningeenda tanga mapangoni
Pole sana.Aliyefanya madhambi haya kasalia hatua moja awe mchawi. View attachment 2287481View attachment 2287482
Unakuta kibarua kakulimia mpaka mazao yamefika hatua hiyo hata mia hujampa, ulitaka acheke cheke akifika shambani kwako....Trust me kuna sababu ya kufanya hivi...sitaki kuamini eti afanye tu bila sababu.
Wakulima wengi wanaingia nao mikataba, baada ya miezi 3 mazao yamekomaa yanasubiri kuvunwa, unamuanzishia visa, unamfukuza bila kumlipa.Unakuta kibarua kakulimia mpaka mazao yamefika hatua hiyo hata mia hujampa, ulitaka acheke cheke akifika shambani kwako....
Hana makosa huyu, chakula ya Ng'ombe nii...Aliyefanya madhambi haya kasalia hatua moja awe mchawi.
View attachment 2287482
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]itakua alifreez KWA mda wa week nzima duuuJamaa yangu alikuwa na eka5 za vitunguu wamesubiri vimrkomaa jamas wiki hiyo ilikuwa avune wakenya wakaja na fuso usiku wakabuna hawskudondosha hata kimoja angeungia hata mboga. Asubuhianakuja kutembelea shamba jeupeeeeeee