Aliyefanya PCM anaweza kusomea udaktari?

Aliyefanya PCM anaweza kusomea udaktari?

msemakweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
1,627
Reaction score
880
Naombeni msaada wenu jamani. Nilisoma PCM A-level nikapasi je naweza kuapply udaktari? Nina A ya biology O-level.

Asanteni.
 
Naombeni msaada wenu jamani. Nilisoma PCM A-level nikapasi je naweza kuapply udaktari? Nina A ya biology O-level.
Asanteni.

Kikawaida huwezi kwa bongo hii.

Labda utumie cheti cha O level ukaapply dipoloma ya afya,then ndio uanze kupanda mdogo mdogo hadi MD
 
Naombeni msaada wenu jamani. Nilisoma PCM A-level nikapasi je naweza kuapply udaktari? Nina A ya biology O-level.
Asanteni.

kwa bachelor haiwezekani coz hujasoma pure biology.,bora hata ungesema hukusoma phys advance ila hapo ulipoanzia kadiploma kwanza
 
Naombeni msaada wenu jamani. Nilisoma PCM A-level nikapasi je naweza kuapply udaktari? Nina A ya biology O-level.
Asanteni.

Unapata bila tatizo mkuu provided O'level umesoma biolg, soma guiding vzuri, kusomea MD unatakiwa uwe umesoma Bioloyg, Chemistry, physics/Mathematics ila kwa PCM lazima O'level uwe na pass ya Biology.

Wasikudanganye unapata hahapa bongo japo priority hua inakua kwa aliyesoma PCB.
 
Unapata bila tatizo mkuu provided O'level umesoma biolg.soma guiding vzuri, kusomea MD unatakiwa uwe umesoma Bioloyg,Chemistry,physics/Mathematics ila kwa PCM lazima O'level uwe na pass ya Biology.Wasikudanganye unapata hahapa bongo japo priority hua inakua kwa aliyesoma PCB.

hivi unakielewa kilichomaanisha hapa biology, chem, physics/mathematics???? hebu tueleza hapo pcm ka-qualify vip? mbona majanga mkuu.
 
Unapata bila tatizo mkuu provided O'level umesoma biolg.soma guiding vzuri, kusomea MD unatakiwa uwe umesoma Bioloyg,Chemistry,physics/Mathematics ila kwa PCM lazima O'level uwe na pass ya Biology.Wasikudanganye unapata hahapa bongo japo priority hua inakua kwa aliyesoma PCB.

Acha Uwongo Kwaiyo Pcb Ina Kaz Gani
 
hivi unakielewa kilichomaanisha hapa biology,chem,physics/mathematics???? hebu tueleza hapo pcm ka-qualify vip? mbona majanga mkuu

Naona huelewi mkuu! kafungue guiding usome ili uelewe vizuri.

Kinachoangaliwa hapa ni kwa kwa A'level physics/pure appl mths hua vinaangaliwa kwa pamoja lakini aliyesoma PCM anatakiwa awe na pass ya biology O'level. Hapa kama wanacompit mtu wa PCB na PCM ndipo wa PCB hupewa priority lakin wa PCM naye kama ana pass ya biology O'level naye anatazamwa.

Kwa taarifa yako ni kwamba me ni tutorial assistant wa hii hii professional chuo flani hapa nchini usiwe mbishi mkuu.
 
Hata aliyesoma art anasoma udaktari hilo tambua mjomba, mnabaki mnashangaa, mimi sina msingi wa form six wa science ila o-level biology niliscore C, Form six nilipiga HGL, For now nina bachelor ya medicine toka muhimbili, na niko vizuri kuliko wale waliopita form six na science na nina GPA YA 3.4
 
Acha Uwongo Kwaiyo Pcb Ina Kaz Gani

Mkuu uongo wangu nn? inawezekana wewe ni ex-f6 wa mwaka huu ndio maana. PCB ni broad combination japo kwa medical ndo mahala pake.Kama una pass nzuri ya biology ya O'level na A'level umefaulu vizuri PCM kaapply uone kama hutadahiliwa.

Medical kwa hapa nchini wanaoomba kwa direct entry hua ni form 6 leavers wa PCB& PCM pekee.

Ila kwa nje hata kama umesoma CBG unapata make systems za ni differ na kwetu.
 
Je mtu wa cbg..anaweza kusoma udaktari

CBG kwa hapa ndani tz ni issue hata kama una A zote kwenye kombi labda kwe nchi zingine ndo unapata.kaanzie na CO ndo hapo watakukubalia. Kwa systems za kwetu ndani ni PCB&PCM tu.
 
Hata aliyesoma art anasoma udaktari hilo tambua mjomba,mnabaki mnashangaa,mimi sina msingi wa form six wa science ila o-level biology niliscore C,Form six nilipiga HGL,For now nina bachelor ya medicine toka muhimbili,na niko vizuri kuliko wale waliopita form six na science na nina GPA YA 3.4

Sawa bila shaka ulienda kusoma diploma kwanza(CO) ndo ukaenda kuchukua MD.Make HGL sio criteria kwa direct entry kwa MD. Na ni weng sana wamefanya hivyo na ni maMDs kwa sasa.
 
Kwa form 6 ni lazma uwe umesoma biology na si vinginevyo.
La sivyo uanze na diploma _CO kwa kutumia cheti cha form 4.
 
Back
Top Bottom