Aliyefanya PCM anaweza kusomea udaktari?

Aliyefanya PCM anaweza kusomea udaktari?

Naombeni msaada wenu jamani. Nilisoma PCM A-level nikapasi je naweza kuapply udaktari? Nina A ya biology O-level.
Asanteni.

What is special with medicine, why not register for engineering which is compatible with PCM
 
hivi unakielewa kilichomaanisha hapa biology,chem,physics/mathematics???? hebu tueleza hapo pcm ka-qualify vip? mbona majanga mkuu

Jamaa anaonekana mbishi tu PCM kupiga MD kwa Tanzania hata uwe na A ya Biology O level bado kitendawili pengine haelewi maana ya Physics/Maths.
 
Unapata bila tatizo mkuu provided O'level umesoma biolg.soma guiding vzuri, kusomea MD unatakiwa uwe umesoma Bioloyg,Chemistry,physics/Mathematics ila kwa PCM lazima O'level uwe na pass ya Biology.Wasikudanganye unapata hahapa bongo japo priority hua inakua kwa aliyesoma PCB.

Upo sahihi MAHANJU miaka hiyo ya nyuma kuna best friend wangu alisoma CBG A level. Alipata B ya Physics form four. Alifanikiwa kupata admission ya Muchs by then akasomea udaktari. Kwa sasa ni daktari unfortunately wale madaktari wanasiasa....:A S wink::A S wink:
 
Back
Top Bottom