Kweli kabisa!Mimi jamaa yangu Mmoja,nilimkuta ananisema kwa jamaa zetu kuwa nimekulia baada ya kuachishwa kazi,wakati nilikuwa nampa kampani ya hela akiwa chuo na anakuja likizo kwangu mwezi mzima!Ilikuwa si ajabu kujua umefulia au kuanguka ukishasikia maneno nakejeli toka kwa wanawake.
Ila leo ni kama imekuwa tofauti kabisa yani wanaume ndio wamekuwa wahusika wakubwa sana.
Zamani si rahisi kukuta mwanume Kuwa na hizo tabia anapomuona mwanaume mwenzake kapata changamoto anapo anguka.
Ila sasa ndio tumekuwa mstari wa mbele wanawake wanasubiri
humanity is workKweli kabisa!Mimi jamaa yangu Mmoja,nilimkuta ananisema kwa jamaa zetu kuwa nimekulia baada ya kuachishwa kazi,wakati nilikuwa nampa kampani ya hela akiwa chuo na anakuja likizo kwangu mwezi mzima!