Aliyefariki na kuzikwa Aprili 2022 apatikana akiwa hai Desemba 28, 2022

Aliyefariki na kuzikwa Aprili 2022 apatikana akiwa hai Desemba 28, 2022

Hivi ikidhihirika kwamba hii habari ina makosa, hakuna mtu aliyekufa na kupatikana yuko hai baada ya kufa, nyie mnaoendekeza uchawi mtakubali kuwa habari za uchawi ni longolongo tu?

Au mtakuja na excuse mpya kuendeleza propaganda za kuamini uchawi?
 
Kijana aliyekufa mwezi April Mwaka jana amekutwa akiwa hai mwezi December na kushangaza Watu wengi

Kumbe mnaweza kumzika mtu kumbe mnazika msukule

Labda Ndio sababu Kule Kenya mwendazake huwekwa mubashara ukumbini kwa siku kadhaa

Hii Dunia ina giza nene

Heri ya Mwaka Mpya!
 
Back
Top Bottom