Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Malkia wa urembo wa Miss Universe Nigeria, Chidimma Adetshina, ameibuka mshindi wa pili katika shindano la Miss Universe 2024 lililokamilika Mexico City Jumamosi usiku.
Miss Denmark, Victoria Kjaer Theilvig ndiye aliyeibuka Miss Universe mwaka huu 2024.
Chidimma Adetshina ambaye awali alishiriki katika taji la Miss Afrika Kusini mwaka huu lakini akajiondoa baada ya kukabiliwa na chuki dhidi ya wageni pia alitawazwa kuwa Miss Universe Africa na Miss Oceania.
Licha ya kuwa raia wa Afrika Kusini, kustahiki kwake kulitiliwa shaka kwa sababu baba yake ni Mnigeria na mamake ana asili ya Msumbiji.
Ingawa alishika nafasi ya pili katika shindano hilo, Chidimma alipokea mapokezi ya "kifalme" nchini Nigeria, na sifa nyingi kwa ushiriki wake katika mashindano ya urembo, kwenye mitandao ya kijamii na katika vyombo vya habari vya kawaida vya nchi hiyo.
Pia, soma: