Lepanto
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 1,162
- 500
vipi kwenye mahesabu ya hela nako unapita kushoto au?Maths kwangu ilinishinda, napita kushoto jamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi kwenye mahesabu ya hela nako unapita kushoto au?Maths kwangu ilinishinda, napita kushoto jamani.
Wana jamvi embu leteni maoni yenu juu ya huku ugumu wa maths nani amechangia kwa kiasi kikubwa..mm hasa naona ni ALGEBRA yeye ndie ameleta uhasama kwenye maths baada ya kuchanganya herufi na namba..
sasa kama hizo huwexi, utasemaje pale linapokuja suala ya Technical drawing na hasa unapotakiwa u-udifine x-x axis?Kwakweli circle & sphere sio mchezo
Together, kwa kupata A ya Olevel na B Alevel. Masomo rahisi kabisa hayoHesabu ni ngumu?kwangu mimi somo rahisi kuliko yote ni hesabu
Teh teh teh,Chemistry ndiyo wakaja wakaizika kabisa hesabu:
![]()
X=4y-4,3x+y=10
4y-x=4
Find the sum of x and y
Hao ndio walichanganya kabisa eti herufi na namba zibalanceChemistry ndiyo wakaja wakaizika kabisa hesabu:
![]()
Wachache sana, big upX=4y-4,
12y-12+y=10
Which gives 22/13 for Y and which in turn X is 36/13!
The answer for summation is 58/13
Big up, wachache sanaX=4y-4,
12y-12+y=10
Which gives 22/13 for Y and which in turn X is 36/13!
The answer for summation is 58/13
Kwenye hesabu za hela ni kujumlisha na kutoa.vipi kwenye mahesabu ya hela nako unapita kushoto au?
He He. Lile Beda Bovu Chonya Nipe Orange Fanta Nende. Na Muganyizi Alivuta Sigara Packet Sita Arusha.....Teh teh teh,
unakumbuka H He Li Be B C Na O F Ne ...............................................................
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaHuyo algebra kweli fala namba uweke na herefu alafu utuulize hizo herufi ni namba zipi
Ujinga ndio maana mambo ya kijinga yalinishinda
3x+y=10
4y-x=4
Find the sum of x and y