badison
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 1,450
- 2,761
Slaa alimpenda hayati Magufuli kwasababu ni mkristo hiyo ni fact sio opinion mashambilizi yote kwa Rais Samia ni kwasababu ni muislamu na pia slaa ni mtu asiye zeeka kwa heshima na yote anayofanya hayata zaa matunda yoyote mimi ni shahidi kwani kila Rais Samia akifanya uteuzi wake watu wangu wa karibu wote wanaangalia je wakristo ni wengi kuliko waislamu.
Mimi huwa na tazama sana na imenifanya nikose furaha sana kwani wakati wa Magufuli alifanya teuzi zake anazofanya lakini waislamu hawakulalamika. Huyo mzee ni snitch anaye zeeka vibaya
Mimi huwa na tazama sana na imenifanya nikose furaha sana kwani wakati wa Magufuli alifanya teuzi zake anazofanya lakini waislamu hawakulalamika. Huyo mzee ni snitch anaye zeeka vibaya