K***Nina zao wote hao kengeSlaa na Lipumba walitusaliti sana 2015 tuna iona ccm imekwisha mzuka kabisa hawa wasaliti wakawapa nguvu ya kutuibia kura zetu.
Uko sawa kabisa hawa jamaa walitusaliti sana.Slaa na Lipumba walitusaliti sana 2015 tuna iona ccm imekwisha mzuka kabisa hawa wasaliti wakawapa nguvu ya kutuibia kura zetu.
Na Bado mpka afeSlaa alimpenda hayati Magufuli kwasababu ni mkristo hiyo ni fact sio opinion mashambilizi yote kwa Rais Samia ni kwasababu ni muislamu na pia slaa ni mtu asiye zeeka kwa heshima na yote anayofanya hayata zaa matunda yoyote mimi ni shahidi kwani kila Rais Samia akifanya uteuzi wake watu wangu wa karibu wote wanaangalia je wakristo ni wengi kuliko waislamu.
Mimi huwa na tazama sana na imenifanya nikose furaha sana kwani wakati wa Magufuli alifanya teuzi zake anazofanya lakini waislamu hawakulalamika. Huyo mzee ni snitch anaye zeeka vibaya
Anataka kuondoka na watuNa Bado mpka afe
[emoji375]nakaziaHukumu ni hapa hapa duniani kwa wapumbavu na mbinguni ni kushindilia hukumu.
Mamaee zakeAnataka kuondoka na watu
Umeongea ukweli kabisa na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.Slaa anahongwa na anahongeka vizuri tu
Hapa ndio binafsi nilimvua vyeo vyote alivyokuwa navyo.
Shavu gani wewe..Dkt. Slaa ameanza siasa jana? mangapi amepitia yaliyokuwa mazito zaidi kuliko hili la sasa lkn bado alikataa kuhongwa..huo ubalozi ungemuuliza aliyemteua kama ilikuwa ni hongo au la..msimamo wa Dkt. Slaa huwezi kuupima kwa ishu ya ubalozi..ukiamini hivyo utakuwa mpumbavu!Huyu Dk. Slaa kipindi cha JPM alipokuwa balozi alibadilika sana na kukana kila kitu alichokuwa akikipigia debe alipokuwa upinzani
Kwanza alidai mikutano ya hadhara ni sahihi kufungiwa sababu uchaguzi umeisha(akiwa CDM alikuwa akifanya mikutano hiyo sana)
Pili alidai serikali ya Magufuli kufungia bunge ilikuwa ni sahihi sababu wapinzani huwa wanapotosha vitu vingi bungeni
Tatu alisema katiba mpya sio kitu cha muhimu na hakifai serikali kupoteza muda na hela kwa ajili ya katiba mpya
Nne alisema Tundu Lisu kupigwa risasi bungeni ni jambo la kawaida
Tano alisema Freeman Mbowe kupewa kesi ya ugaidi iliyokuwa ni halali licha ya kutokuwepo na ushahidi wowote wa maana, na waliokuwa wakipaza sauti ili aachiwe walikuwa wakimkwaza
Slaa alisema hivyo baada ya kuteuliwa balozi na baadae hata aliporudishwa alikuwa akitamka vitu vya hovyo akidhani atapata shavu serikali ya Samia
Slaa anahongwa na anahongeka vizuri tu
Ni Gaidi aliyepelekwa kupiga picha Ikulu na wale wakuu waliompeleka mahakamani kwa Ugaidi huo.
Karma hiyoHuyu Dk. Slaa kipindi cha JPM alipokuwa balozi alibadilika sana na kukana kila kitu alichokuwa akikipigia debe alipokuwa upinzani
Kwanza alidai mikutano ya hadhara ni sahihi kufungiwa sababu uchaguzi umeisha(akiwa CDM alikuwa akifanya mikutano hiyo sana)
Pili alidai serikali ya Magufuli kufungia bunge ilikuwa ni sahihi sababu wapinzani huwa wanapotosha vitu vingi bungeni
Tatu alisema katiba mpya sio kitu cha muhimu na hakifai serikali kupoteza muda na hela kwa ajili ya katiba mpya
Nne alisema Tundu Lisu kupigwa risasi bungeni ni jambo la kawaida
Tano alisema Freeman Mbowe kupewa kesi ya ugaidi iliyokuwa ni halali licha ya kutokuwepo na ushahidi wowote wa maana, na waliokuwa wakipaza sauti ili aachiwe walikuwa wakimkwaza
Slaa alisema hivyo baada ya kuteuliwa balozi na baadae hata aliporudishwa alikuwa akitamka vitu vya hovyo akidhani atapata shavu serikali ya Samia
Slaa anahongwa na anahongeka vizuri tu
Niliumia sana kumoyo kauli hii kutoka kwa Dr SlaaNne alisema Tundu Lisu kupigwa risasi bungeni ni jambo la kawaida
Atubuye hussmehews.Huyu Dk. Slaa kipindi cha JPM alipokuwa balozi alibadilika sana na kukana kila kitu alichokuwa akikipigia debe alipokuwa upinzani
Kwanza alidai mikutano ya hadhara ni sahihi kufungiwa sababu uchaguzi umeisha(akiwa CDM alikuwa akifanya mikutano hiyo sana)
Pili alidai serikali ya Magufuli kufungia bunge ilikuwa ni sahihi sababu wapinzani huwa wanapotosha vitu vingi bungeni
Tatu alisema katiba mpya sio kitu cha muhimu na hakifai serikali kupoteza muda na hela kwa ajili ya katiba mpya
Nne alisema Tundu Lisu kupigwa risasi bungeni ni jambo la kawaida
Tano alisema Freeman Mbowe kupewa kesi ya ugaidi iliyokuwa ni halali licha ya kutokuwepo na ushahidi wowote wa maana, na waliokuwa wakipaza sauti ili aachiwe walikuwa wakimkwaza
Slaa alisema hivyo baada ya kuteuliwa balozi na baadae hata aliporudishwa alikuwa akitamka vitu vya hovyo akidhani atapata shavu serikali ya Samia
Slaa anahongwa na anahongeka vizuri tu
Huo ni ubaguzi wa rangiKataa Waarabu
Watanzania ukiwatendea baya huwa hawa react. Wao humulilia Mungu, Mungu atashughulika na wewe muda ukifika.Karma hiyo