Aliyehukumiwa kubaka abaka tena Gerezani

Watu wa aina hiyo wakatwe nchuruuuu zao au wahasiwe.

Wana matatizo ya akili makubwa SANAAAAAA
 
Huyo mwanaume alikubali mwenyewe au aliwezaje kumbaka? Mwanaume mwenzako anakubaka? Yaani we ni jinga la aina gani. Hiyo ni ngumu kumeza
 
Gereza gani hilo lina bafu lenye uficho, si wanasema magereza unakunya hapo huku wengine wanakuona!
 
Muwe mnataja na nchi ambazo hilo tukio limetokea ili kupunguza mawali ambayo sio ya lazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…