Aliyehukumiwa kunyongwa

Kuna muda sheria uvunjwa kwa nia njema. ANGEKIRI YOTE NA KUTIWA HATIANI..?!!TORTURE INAKUJA BAADA YA HISIA ZA MTUHUMIWA KUFICHA UKWELI.
 
Sababu za kuua zilikuwa nini?
 
Huenda wapo wengine kwa namna hizo hizo,hajawahi kamatwa
Watu wanaua mbona na wanaishi inategemea tu umemuua nani ndo mana wazee wanasema usimchokoze mtu mana unamjia juu mtu aashauaga watu wa3 hasa sisi wanawakeπŸ˜… mtu anaplan tukio zito hivyo we huogopi?? Na haionekanii kama ni first time
 
Jamani unamkata jirani kichwa ! πŸ‘ binadamu
 
Ilikuaje sasa jamaa akanaswa mpaka hukumu ya kunyongwa kama alifanya yote hayo kujinasua, ni ushahidi gani ulibaki nyuma uliomuingiza mtegoni
 
Ilikuaje sasa jamaa akanaswa mpaka hukumu ya kunyongwa kama alifanya yote hayo kujinasua, ni ushahidi gani ulibaki nyuma uliomuingiza mtegoni
Ndugu wa marehemu walimuhisi huyo Mme wake kuwa inawezekana akawa kamuua au kamdhuru .

Kwakuwa walikuwa na mgogoro wa muda mrefu ambao ulikuwa unafahamika na ndugu wa marehemu.

In short scenario kama hii huwa inatokea na muhusika kukamatwa .

Nakumbuka pale mwanza mwaka 2000 kuna jirani alimuua mchipuko wa mme wake kwa kumchoma katika Nyumba.

Ila police walichofanya ni kufatilia na wakajua kuwa mchipuko alikuwa katika bifu na huyo mama

Sasa police waliwatia ndani wote Ila jamaa mwanaume alijinasua kijanja Kwa kumuangushia mzigo mke wake.

Ila Kama unavyojua waliotumwa kuchoma Nyumba walikimbia walipanda Meli na kurudi Bukoba .

So na yule mwanaume aliachiwa kwakuwa kulikuwa hakuna ushaihidi na baadae yule mama aliachiwa Kwa Nole.


So hizi mambo za mke na mme ni kuwa Nazo binadamu hamuachii mungu
 
Kaka si wamegundua simu zilikuwa eneo moja wakati mke anatuma meseji ya kwenda nje ya nchi
 
Kaka si wamegundua simu zilikuwa eneo moja wakati mke anatuma meseji ya kwenda nje ya nchi
Hiyo haitodhi kuthibitisha kuwa aliuwawa muda huohuo au kabla ya muda huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…