Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 4,062
- 5,741
Nasikia simu alichukua simu ya mkewe akajitumia msg walivyofatilia wakagundua simu zimetumiana msg eneo mojaKwa hiyo nini kilisababisha akajulikana baada ya kupoteza ushahidi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia simu alichukua simu ya mkewe akajitumia msg walivyofatilia wakagundua simu zimetumiana msg eneo mojaKwa hiyo nini kilisababisha akajulikana baada ya kupoteza ushahidi?
Uongo.. matatizo ni kawaida kwa binadamu.Ukiona mmepata mali alafu ndoa inavurugika nyuma ya mali kunadhuluma na mauwaji hamuwezi maliza salama hiyo ndio Karma
Kuna muda sheria uvunjwa kwa nia njema. ANGEKIRI YOTE NA KUTIWA HATIANI..?!!TORTURE INAKUJA BAADA YA HISIA ZA MTUHUMIWA KUFICHA UKWELI.Haki jinai: Polisi hawaruhusiwi kumlazimisha mtuhumiwa kusema chochote , kama alifikia hatua hiyo ya kupoteza ushahidi inawezekana vipi akakubali kusema kwa hiyari yake?
Kama alilazimishwa kusema je sheria haijavunjwa? Au kwenye hilo tumeruhusu sheria ivunjwe?
Sababu za kuua zilikuwa nini?Hamis akiwa Segerea ameandila Kitabu Kuhusu tukio lake la mauaji ya Mke wake na anatamani Kila Mwanaume akisome hiko Kitabu.
1.Hamis baada ya Mke wake kukata Roho pale kwenye Ngazi majira ya Saa 10 Usiku ndiyo akaanza Kujuta na Kujiona akiandamwa na Kesi ya Mauaji sasa akawa anataka kujinasua na Kesi
2.Cha Kwanza Hamis aliwaza kuchimba shimo kumfukia akagundua itakuja kujulikana ndiyo akapata wazo la Kumteketeza kwa Moto ili kukwepa Ushahidi
3.Kwa Maelekezo yake chini alipanga Pochi za Mke wake ili akiwa anaungua isisikike harufu
ya Nyama bali Plastic na Juu akapanga viatu vya Mke wake pamoja na Nguo chache kisha akamzungushia Mkaa
3.Kwa Hamis pana fensi na eneo Kubwa kiasi cha Majirani hawakugundua chanzo cha moto ila waliona Mosi na harufu ya Plastic
4.Bodaboda alitumwa gunia za Mkaa kama nne na zote alikuwa anashushia nje ya geti kisha Hamis anaziingiza Mwenyewe ndani
5.Hamis alifanikiwa kumteketeza Mke wake kwa Moto na kwa simulizi yake sehemu za Mwisho Kuungua Mke wake zilizomsumbua ni Matiti na sehemu za siri, akaongeza Sana Mkaa hadi kufanikiwa kumalizana nazo.
6.Katika Kuondoa Ushahidi sasa Hamis akakusanya Majivu na udongo mwuusi ulio ungua na moto pale alipomchoma mke wake kisha akapack katika Viroba
7.kisha akasafirisha mabaki ya Majivu na Udongo akaenda akutupa Shambani Kwake Kibiti katika Mto ,majivu ya udongo vikaondoka na maji yeye akarudi nyumbani
8.Baada ya Usafi ,akaenda Polisi Kigamboni Kuriport Mke wake amepotea na Kwamba ajarudi tangu Jana alipotoka kwenda Matembezini.
9.Jeshi la Polisi na Hamis wakaaanza Kushirikiana kumtafuta Naomi
10.Hamis akatamgqza Dau la Millioni 5 Kwa Mtu yeyote atakayekuwa amemuona Mke wake
11.Hamis akabandika Picha za Mke wake Kigamboni yote na Posta upande wa Feri zikaenea Kama Naomi anagombea Ubunge wa Kigamboni
Hajui kuwa hii nchi ni kubwa ila ataiona ndogo kama gheto la tandaleSiku ukiambiwa Polisi wanakutafuta ndio utajuwa wanafanyaje kazi.
Watu wanaua mbona na wanaishi inategemea tu umemuua nani ndo mana wazee wanasema usimchokoze mtu mana unamjia juu mtu aashauaga watu wa3 hasa sisi wanawake😅 mtu anaplan tukio zito hivyo we huogopi?? Na haionekanii kama ni first timeHuenda wapo wengine kwa namna hizo hizo,hajawahi kamatwa
Ma mbongo ni hatari sana wakiamua kulivalia suala Fulani njuga..hatari sanaPolisi wanajua kazi yao sema nao huwa wanazinguliwa na wanasiasa. Ila wakisema watumie weledi kudili na jambo fulani ni kwere kwerekweche.
Jamani unamkata jirani kichwa ! 👐 binadamuNi hapo watuhumiwa wengi wa kitanzania wanapofeli ,kote wanacheza vizuri Ila ikifika kwenye issue ya mawasiliano wanayabananga .
Hii imenikumbusha zamani kidogo nikiwa kwenye majukumu Kama hayo ya kuhusika na watuhumiwa ,niliwahi kutana na mtu aliyemkata jirani yake kichwa alafu akaenda kumtupa sehemu ya mbali Kama utoke kariakoo mpaka huko mabwepande ukamtupe maiti Ila usahau kuficha mawasiliano kwa maana aliondoka na simu ya ntuhumiwa nyumbani lengo aweze kudanganya eti kaokota simu yake mtaa wa pili na aliwaona watu wanaondoka naye kwenye gari 🤔
Mwisho wa picha simu ikamkatalia kuwa hapana bwana hatwendi hivyo ,akawa Yuko chini ya ulinzi .
Note :Ni kipindi hiko polisi ilipokuwa polisi sio Sasa .
Dada binadamu wote ni wema Ila binadamu ndiye ubadilisha binadamu mwenziye mpaka kufikia hatua hiyoJamani unamkata jirani kichwa ! 👐 binadamu
Nmeogopa kwakweliDada binadamu wote ni wema Ila binadamu ndiye ubadilisha binadamu mwenziye mpaka kufikia hatua hiyo
Ni vyema ukaogopa mdogo wangu ,ogopa sana mapenzi ,chuki na msongo wa mawazo katika jamii unayoishi nayo .Nmeogopa kwakweli
Vijana hawawezi kuielewa hii codeUjumbe murwa kbsa huu
Aisee Mungu atusaidie tuwe na mwisho mwemaNi vyema ukaogopa mdogo wangu ,ogopa sana mapenzi ,chuki na msongo wa mawazo katika jamii unayoishi nayo .
Ukiona hayo yameanza kukuzunguka basi tafuta msaada usisubiri vikutafune unaweza kuishia pabaya .
Amandla .🙏
Ilikuaje sasa jamaa akanaswa mpaka hukumu ya kunyongwa kama alifanya yote hayo kujinasua, ni ushahidi gani ulibaki nyuma uliomuingiza mtegoniHamis akiwa Segerea ameandila Kitabu Kuhusu tukio lake la mauaji ya Mke wake na anatamani Kila Mwanaume akisome hiko Kitabu.
1.Hamis baada ya Mke wake kukata Roho pale kwenye Ngazi majira ya Saa 10 Usiku ndiyo akaanza Kujuta na Kujiona akiandamwa na Kesi ya Mauaji sasa akawa anataka kujinasua na Kesi
2.Cha Kwanza Hamis aliwaza kuchimba shimo kumfukia akagundua itakuja kujulikana ndiyo akapata wazo la Kumteketeza kwa Moto ili kukwepa Ushahidi
3.Kwa Maelekezo yake chini alipanga Pochi za Mke wake ili akiwa anaungua isisikike harufu
ya Nyama bali Plastic na Juu akapanga viatu vya Mke wake pamoja na Nguo chache kisha akamzungushia Mkaa
3.Kwa Hamis pana fensi na eneo Kubwa kiasi cha Majirani hawakugundua chanzo cha moto ila waliona Mosi na harufu ya Plastic
4.Bodaboda alitumwa gunia za Mkaa kama nne na zote alikuwa anashushia nje ya geti kisha Hamis anaziingiza Mwenyewe ndani
5.Hamis alifanikiwa kumteketeza Mke wake kwa Moto na kwa simulizi yake sehemu za Mwisho Kuungua Mke wake zilizomsumbua ni Matiti na sehemu za siri, akaongeza Sana Mkaa hadi kufanikiwa kumalizana nazo.
6.Katika Kuondoa Ushahidi sasa Hamis akakusanya Majivu na udongo mwuusi ulio ungua na moto pale alipomchoma mke wake kisha akapack katika Viroba
7.kisha akasafirisha mabaki ya Majivu na Udongo akaenda akutupa Shambani Kwake Kibiti katika Mto ,majivu ya udongo vikaondoka na maji yeye akarudi nyumbani
8.Baada ya Usafi ,akaenda Polisi Kigamboni Kuriport Mke wake amepotea na Kwamba ajarudi tangu Jana alipotoka kwenda Matembezini.
9.Jeshi la Polisi na Hamis wakaaanza Kushirikiana kumtafuta Naomi
10.Hamis akatamgqza Dau la Millioni 5 Kwa Mtu yeyote atakayekuwa amemuona Mke wake
11.Hamis akabandika Picha za Mke wake Kigamboni yote na Posta upande wa Feri zikaenea Kama Naomi anagombea Ubunge wa Kigamboni
Ndugu wa marehemu walimuhisi huyo Mme wake kuwa inawezekana akawa kamuua au kamdhuru .Ilikuaje sasa jamaa akanaswa mpaka hukumu ya kunyongwa kama alifanya yote hayo kujinasua, ni ushahidi gani ulibaki nyuma uliomuingiza mtegoni
Kaka si wamegundua simu zilikuwa eneo moja wakati mke anatuma meseji ya kwenda nje ya nchiHaki jinai mtuhumiwa akihojiwa asipigwe , aulizwe na aseme kwa hiyari yake.
Polisi wakimkamata mtuhumiwa kama huyo alietenda kosa bila kuwepo kwa shahidi yoyote na akapoteza ushahidi hadi kutupa majivu mtoni anatakiwa wamuulize "uliua" akisema "sijaua" asilazimishwe aachiwe huru.
Napendekeza Mr Khamis akate rufaa ili aachiwe huru inaonekana kuna viashiria vingi vya mtuhumiwa kulazimishwa kusema ukweli huo kitu ambacho ni kinyume na sheria.
Sijaeleweka? Ndiyo najua sijaeleweka.
Hiyo haitodhi kuthibitisha kuwa aliuwawa muda huohuo au kabla ya muda huoKaka si wamegundua simu zilikuwa eneo moja wakati mke anatuma meseji ya kwenda nje ya nchi