MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,747
- 2,977
Mwehu!Haki jinai mtuhumiwa akihojiwa asipigwe , aulizwe na aseme kwa hiyari yake.
Polisi wakimkamata mtuhumiwa kama huyo alietenda kosa bila kuwepo kwa shahidi yoyote na akapoteza ushahidi hadi kutupa majivu mtoni anatakiwa wamuulize "uliua" akisema "sijaua" asilazimishwe aachiwe huru.
Napendekeza Mr Khamis akate rufaa ili aachiwe huru inaonekana kuna viashiria vingi vya mtuhumiwa kulazimishwa kusema ukweli huo kitu ambacho ni kinyume na sheria.
Sijaeleweka? Ndiyo najua sijaeleweka.