Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Mkuu uwo ndio unakuwaga mwisho wao mbona wako wengi tuAlikuwa akihojiwa na kipindi cha shilawadu na kukiri sasa amekuwa teja wa gongo akiwa hapo studio na mama yake
Mama yake amesema anampa tabu kwa kuwa ameshindwa kulea mtoto wake na afya yake imedhoofu
Anaomba asaidiwe
Yes amekiri kuwa teja wa gongo kwakweli inasikitisha kwa bint mdogo wa miaka 27 kama yeye.SHILAWADU?
Serikali inapopiga marufuku vileo kadhaa, ni kwa maslahi ya watu wake.Alikuwa akihojiwa na kipindi cha shilawadu na kukiri sasa amekuwa teja wa gongo akiwa hapo studio na mama yake
Mama yake amesema anampa tabu kwa kuwa ameshindwa kulea mtoto wake na afya yake imedhoofu
Anaomba asaidiwe
Aisee maunda alikuwa mzee wa bwimbwi hapo ni zaidi ya GongoNa kamtaja mwenzie rafiki yake maunda zoro naye anasema amechoka mbayaaa inasemekana anakula Sana cannabis sativa almaarufu bangi
Post sent using JamiiForums mobile app