Aliyeimba nitarejea na Diamond sasa amekuwa teja wa gongo

Aliyeimba nitarejea na Diamond sasa amekuwa teja wa gongo

Serikali inapopiga marufuku vileo kadhaa, ni kwa maslahi ya watu wake.
Huwa nasikitika ninapowaona au kuwasikia watu wakituhumu viongozi wanaopigana vita dhidi ya madawa ya kulevya na kuwaita majina yasofaa.
Hebu angalieni mathila yanayompata huyu mama na mtoto wake!
Jitafakarini!
Mbona una lugha kama ya BASHITE hivi...
We ni BASHITE? Eenh??
 
Maisha ya huyo dada yanabeba mahudhui ya wimbo wake wa NITAREJEA! Inaonyesha 'jamaa' hakurejea kabisa baada ya kutusua life huko mjini, nawaza tu hahahaha
 
Back
Top Bottom