Lovery
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 1,555
- 3,208
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona una lugha kama ya BASHITE hivi...Serikali inapopiga marufuku vileo kadhaa, ni kwa maslahi ya watu wake.
Huwa nasikitika ninapowaona au kuwasikia watu wakituhumu viongozi wanaopigana vita dhidi ya madawa ya kulevya na kuwaita majina yasofaa.
Hebu angalieni mathila yanayompata huyu mama na mtoto wake!
Jitafakarini!